Masaibu ya kukula bibi ya wenyewe

[ATTACH=full]229603[/ATTACH]Tutasema mara ngapi watu wawachane na bibi za watu ,Ona sasa hii Ghasiaaa!

where, when? bring the entire juicy details…

Nyumba hulipi usiende

:D:D:D:D:D:D If this is your boss.itisha pay rise.

Hii ni ujinga.guest zimejaa unaenda kustarehe kwa nyumba yenye huijui thamani na unaiba.

:D:D:D ndo hivo sasa

@khasia leta full hekaya

This guy alikuwa anahanya her colleague of which she was married ,The husband used to go for business trips hii nugu inabaki ikikamua vitu za wenyewe. …Leo amepatikana wakati the husband came back without informing the wife ,only to find this NUGU ikifanya monkey style kwa keja(which was bought only afew months ago after a long and successful marriage)…Ana Bahati sana ameponea kutoka nje otherwise angekua chakula cha mchwa.

where?

kindly understand… I cant tell you where exactly esp here in public, but its just within Nairobi.

[SIZE=6]Kama Ni talker huyu ndio number one suspect
[ATTACH=full]229604[/ATTACH][/SIZE]

@Randy hizo mawe za perimeter wall ni za wapi?

:D:D:D

:D:D:D:D:D… yaani umeamua hauezi chafuka macho peke yako? Sawa tu…

@truman katoa huyo mujamaa amechunishwa skuma mapema hivi?

Bibi ya wenyewe, moto ya kuotea mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii…

Huyu ni Nani?

as much as bibi ya wenyewe moto, the wife is equally to blame, why give out the server when you know you’re married? the bigger question the man should ask himself is why is the wife too willing? how many men will he " burst" doing his wife?Won’t be surprised if the husband is too blame, otherwise the wife will just dish it out to others who request.

https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2019/03/293124_1123d7f8f5e54ac9dbdb36f01bbbe7cc.jpg

How?