MASAIBU YA PEASANT VILLAGE SPONSOR

pamba

Village Sponsor
#1
Traveling from county back to the town of madness. Journey started well at bungoma on board north rift shuttle at 9.00a.m Next to me is sitted a young kienyeji reporting back to uon she told me they're resuming Classes tomorrow. I pass her my Sunday nation since she's more interested with what I'm reading. Among fisi rules, think ahead before the prey escapes, shuttle husimama Nakuru hapo najua nanunua lunch nikitupa mistrial. 11.00a.m tuko eldoret kienyeji kumbe ako na shida ya kusafiri long distance, ametapika mbaya hadi gazeti yangu imelowa, gari iko na uvundo!
 
P

pseudonym

Guest
#3

:D:D:D:D:D
Pole sana...
But still ,buy her lunch in Naks...preferably a fruit salad.
 
Okwonkwo

Village Chief
#4
Traveling from county back to the town of madness. Journey started well at bungoma on board north rift shuttle at 9.00a.m Next to me is sitted a young kienyeji reporting back to uon she told me they're resuming Classes tomorrow. I pass her my Sunday nation since she's more interested with what I'm reading. Among fisi rules, think ahead before the prey escapes, shuttle husimama Nakuru hapo najua nanunua lunch nikitupa mistrial. 11.00a.m tuko eldoret kienyeji kumbe ako na shida ya kusafiri long distance, ametapika mbaya hadi gazeti yangu imelowa, gari iko na uvundo!
ulifikisha threshold ama? hekaya full tafadhali
 
upepo

Village Elder
#5
kienyeji kumbe ako na shida ya kusafiri long distance
Mwambie akae akiangalia inje kila wakati. Asijaribu kusoma chochote akiwa ndani ya gari. Ikiwezekana aketi mbele ili aone gari ikisonga. I had the same problem kitambo. I used to sit in front to counter the problem.Pia usisahau kumwambia wewe ni baba wa mataifa na hutaki shida zaidi.
 
DI TICHA

Village Elder
#8
Traveling from county back to the town of madness. Journey started well at bungoma on board north rift shuttle at 9.00a.m Next to me is sitted a young kienyeji reporting back to uon she told me they're resuming Classes tomorrow. I pass her my Sunday nation since she's more interested with what I'm reading. Among fisi rules, think ahead before the prey escapes, shuttle husimama Nakuru hapo najua nanunua lunch nikitupa mistrial. 11.00a.m tuko eldoret kienyeji kumbe ako na shida ya kusafiri long distance, ametapika mbaya hadi gazeti yangu imelowa, gari iko na uvundo!
Hehehehehehe... :D:D:D:D Hii thought ya Lunch pale Nakuru bado iko ama kidogo marks zimepungua????
 
Top