masaibu ya Plastic paper bags ban

D

Deorro

Guest
#1
nilienda kununua mboga nipike na some eggs for supper, kuenda kwa mama mboga akasema atakata tu kama nimebeba container ama jwala yangu oherwise nichukue matawi niende nijikatie kwangu. Boy child nikate mboga yawa, nikasema haiwes mek. Hivyo ndivyo nilijipata kwa busheri.

Mabachelor wenzangu How do you hack with this ban especially when it comes to food stuff? Supermarket shopping si shida but vegies inaanza kuwa shida
 
gacomo

Senior Villager
#2

first thing first,flying toilets at least zimepungua
 
uwesmake

THE PRESIDENT
#5
Bro myoung alikam juzi bibi akamtuma skuma ngombe ikasema haiwezi beba kiondo baada ya ten mins ikarudi imekunja mkia bila mboga akakuja akaniangalia nikamlenga kama vile mtu hulenga dem umewai kamua ukikutana na yeye ukiwa na bibi na kusema ' boss naskia njaa bana ' na kucheka. Ili bidi boy child akuwe innovative akaambia bibi ampatie paper bag safi akakunja kwa mkono na akaenda akarudi na skuma .
 
Gendarme

Village Elder
#7
Peasant manenos.

A real birrionaire:-
  1. buys shops for veges from a supermarket, or dials a delivery.
  2. has a food processor ya kukatakata hizo sukuma.
Cunt relate.
 
amun

Village Elder
#11
nilienda kununua mboga nipike na some eggs for supper, kuenda kwa mama mboga akasema atakata tu kama nimebeba container ama jwala yangu oherwise nichukue matawi niende nijikatie kwangu. Boy child nikate mboga yawa, nikasema haiwes mek. Hivyo ndivyo nilijipata kwa busheri.

Mabachelor wenzangu How do you hack with this ban especially when it comes to food stuff? Supermarket shopping si shida but vegies inaanza kuwa shida
shida ndogo ndogo hizi, setup a backyard veggie garden

problem solved :D:D:D:D
 
D

Deorro

Guest
#14
Bro myoung alikam juzi bibi akamtuma skuma ngombe ikasema haiwezi beba kiondo baada ya ten mins ikarudi imekunja mkia bila mboga akakuja akaniangalia nikamlenga kama vile mtu hulenga dem umewai kamua ukikutana na yeye ukiwa na bibi na kusema ' boss naskia njaa bana ' na kucheka. Ili bidi boy child akuwe innovative akaambia bibi ampatie paper bag safi akakunja kwa mkono na akaenda akarudi na skuma .

nappy seal niaje.
 
grandpa

Village Elder
#19
Buy at a supermarket. Since Naivas ecobags ran out, I usually go there with one of those blue branded Nakumatt eco-friendly bags workers wa Naivas wacatch kabisa :D:D:D:D
 
Top