Mashida za msomi.

Hakuna kitu huniudhi kama kukaa Library next na mjamaa anasoma hadi unskia akipumua kwa sababu ya utamu wakati wewe unajaribu kuingiza gear inakataa. Leo ni siku moja inaudhi juu akili imekataa masomo. Imelala kabisa.

Naomba mnipatie advice nifanye nini ndio ningurumishe hii akili.

Tomba ujinga
Meffi

Mtu nugu wewe.
Naprefer uerevu kuliko ujinga. Uerevu hua naichapa Dry Fry.
DICTATOR TOMMY KWESULE.

Umefanya nikamiss sweetness ya masomo. The joy in studying for an exam that you just know you’re about to OWN. We had a prof who used to tell us, “take the exam, don’t let it take you.” The greatest weapon if you want to increase concentration is cardio fitness. Number 2, your diet must be rich in protein. Two eggs for breakfast should get your brain’s juices flowing.

Choma library.
[ATTACH=full]232317[/ATTACH]

Wewe ni mwenda…kikikikikikikiki. I will join you. Mimi sitaki kuona any library kwa sasa.

Kuna units zingine hata ukisoma bado unajishuku juu ni wide. Unashinda ukijiuliza kama kuna kitu umewacha.
a
Asante sana. Lunch nimekula sima na omena na kaskuma kidogo. Mimi hutembea distance ya kama 5 Km to and from campus so hio ni cardio tosha.
Asante for advice lakini. Have a nice day.

:D:D:D:D Hii umetoa wapi sasa? Uyo mjamaa anaikaa hata nywele. Lakini ata library ikiungua lecture hall ziko tu na exam itafanywa bila shida.

Umenikumbusha vile nilikuwa msomi mtiaji. Mi nilikuwa mang’aa mpaka na-correct lecturer akianza ku fumble. Ananiangalia vibaya lakini mimi pia nampa ile look ya “kunja sura kabisa, next time bado ntakucorrect. Takataka.”

Classic. :D:D:D

Welcome back jatelo.

Niaje introvert?

Poa saidi ndugu.