Matched betting

Iko m2 yeyote apa amewai jribu matched betting in UK betting sites…its risk free…

Enhee, so tuseme wewe ni birrionea sasa, ey?

matched betting ni free bets hizo sites zinapeana…mostly For new and loyal customers…unaekelea for example Kama odds ya 2 for a team to win…halafu unatumia stake yako kuekea team opponent draw or win… So no matter outcome you are in profit

Which betting sites can i use

free bets si Kitu ya maana…kitu Kama 10$ unapewa free ukijoin… Karibu zote have this offer… Bet365,betfair.coral.betway

Bet365 wako poa, Kuna time nilikula pesa poa time ya kuwithdraw walinicall kuniambia bitumen ID/ driving license , birth certificate Na bank statement kuverify Mimi si msee Wa kuosha pesa.

Lakini kudeposit no questions unaulizwa… Only time ya kuwithdraw:D:D:D:D

Bet365 Ni poa kuliko SportPesa / betin.

Unaweza stream EPL/ la Liga / serie A , Na selected matches ukiwa Na balance ya $60 Kwa account

1xbet you stream free regardless Ukona pesa kwa account…
Best site ya bet ni 1xbet

Hao Ni wakora Sana Kwa live bets. Mvua ikinyesaha, crowd izushe , bet zinakunywa maji badala ya refund

Sijawahi elewa mbona watu hubet. If you win consistently, which is very unlikely, they ban you. Do you know that? I guess you don’t because you never win as frequently