Mategemeo: Mange Kimambi tupe ya IN CAMERA

Mkutano wa leo wa Jiwe na Senior citizens ulikwa in camera. Tunategeme Mange Kimabi atatupa ya ndani maana hakosi watu wake.

vp mkuu kashatoa hayo ya ndan

bado…

ngoja tusubiri

Nami nasubiria.

Bado siku chache aje