Matokeo Buyungu tafadhali

JF Tz kimya,ni dalili gani hizi

Wahuni wamekwiba kama kawaida yao. Tangu wajue kufanya wizi wa kura hawajali tena wanaiba mchana kweupe! Halafu wanadai nchi ina mfumo wa vyama vingi, si bora tu wavifute turudi kwenye chama kimoja wafanye vile watakavyo.