Maudhi ya JF TZ

Futa nyuzi, unganisha, piga ban , rekebisha heading etc, etc, etc… kila mahali na uzuri wake… pros and cons… Huku Kenya Talk JF kuna utamu wake wala siachi…

umenogewa wewew eeeeh

Hilo ni la kweli kabisa. Bado sina imani 100% na JF Tanzania kwa sababu sikuwepo kwenye makubaliano yao na serikali.

Aisee wanaunganisha nyuzi na kufuta si mchezo

utam haufanani!

JF unaweza ku edit uzi wako muda wowote. Hapa unapewa masaa ya kufanya proof reading. Sasa sisi wengine tunaoandika uzi kwa kuibia muda wa ofisi. Ule wa muda wa editing unakuta kuna kazi moya ya kufanya. Ukimaliza uzi hausomeki

[FONT=tahoma]Pande zote zinahusika kwa sasa KT na JF humu watu wanajiachia tu hakuna cha ban.[/FONT]

Umeona eh! Haata mimi huku sikuachi, na tayari nimeshajenga kibanda…

Unasema kweli, wala usipost kitu against mtukufu! take care

Nilishapata gademu hapa yaani naache KT.

Ni kweli… ila nidhamu nayo ni muhimu sana…

Cc: @Mahondaw

Huko si kuzuri sana kiusalama wandugu

Yaani ukweli kabisa JF ya bongo pamoja na mapungufu hayo na pia hayo makubaliano yao na serikali pia yanatia shaka binafsi sina mpango kurudi kama mchangiaji nitakuwa msomaji tu.

Na kweli!

Kuna post ya Return of Undertaker JF kuhusu Mwigulu. Nasubiri kuona itadumu kwa muda gani

Haipo tayari, nilijaribu kufungua, kumbe tayari jf wameshafanya yao, nashauri wawe wanazileta huku.

Nilijua tu

Ukiona kitu kama hicho, copy na tupia huku, kule wanazima muda huo huo

Maandishi yanafutwa je wenyewe Wapooooooo…???

Mimi JF sikanyagi kabisa.