Mavi

Status
Not open for further replies.

The_Virus

Village Elder
#1
Jana niliamua kuenda kuwatch game ya midtable between team fulani inaitwa Aston Villa na ingine inajiita Manutd. Nikiwatch game kama kawa nilikuwa napewa Summit Baridi. Game yenyewe ilikuwa chini very few chances created lakini Summit ilikuwa inanibamba mbaya.

Anyway kitu second half nilikuwa tipsy hata sikuwa naona screen poa nilikuwa nasikia commentator akisema sijui Memphis sijui Schwznegger sijui agbon la whore. Severally nilisikia commentator ametaja mavi mara kadhaa kama sijakosea.

Sasa nasikia ati hio team ya Manutd imesign watu wengi kutoka goalkeeper. Sasa nauliza Manutd wamenunua player anaitwa Mavi?
20150814_223950.jpg
20150814_222057.jpg
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.
Top