We must be age mates then. Kwanza ukipata ile ya 'CHROME’ baaaaaas, twitter kwa music ilikuwa chrystal clear. Hizo ngoma pia zimenikumbusha far- asande sana…
hizo zilikua za wasee wana dub from radio so ilibidi uvunje kale ka plastic kako hapo while new ndio ukifinya record kuna tu vitu kwa player zinaingia hapo kuanza kurecord,unless tape ilikam na ngoma zake.good ol’ days.matha hajawahi sahau vile niliharibu munishi songs,28 years later:D:D:D:D.Anapeana hio story ni kama jana ilifanyika:D:D:D:D:D:D
Ata ukivunja hako ka plastic kako hapo down, it was still easy to ‘HACK’. Unachukua paper una stuff hapo kwa hiyo shimo na unaendelea ku dub ngoma za yours for the asking, reggae time, sundowner na late date bila wasi wasi yoyote…