Maxence Melo (Mmiliki wa Jamii Forums) na DW Swahili, kwa hili mjitafakari!

Mmiliki wa JamiiForums, Maxence Melo inabidi ajitafakari kwa kutoa taarifa ya uongo katika mahojiano yake!
[ul]
[li]Amesema kuwa hawajawahi kupewa taarifa na TCRA, Je, yeye kama mdau wa media na mmiliki wa Forum huwa anafuatilia taarifa zinazoendelea kutoka kwa Regulator wake?[/li][li]Vipi kuhusu kesi yake aliyoifungua Mtwara na Helen Kijo-Bisimba walikuwa wanapinga nini?[/li][li]Katika taarifa yake juu ya kusitisha huduma katika forum yake anasema ni ghafla, vipi kuhusu wadau wengine wa media walitoa wapi taarifa juu ya kusijajili katika mamlaka hiyo?[/li][li]Maxence Melo acha kuupotosha umma kwa kutaka cheap popularity! Kutaka kuichafua taswira ya Tanzania kwa vipande vya fedha ni dhulma kwa wananchi![/li][li]DW (Kiswahili) mahojiano yenu hayako balanced, kwani hamjataka kufanya interview na regulator ili kupata proof ya alichokiongea Maxence Melo. Hata tu kufanya uchunguzi endapo kuna taarifa ilitolewa kabla kuhusu alichokieleza Maxence Melo.[/li][li]DW News this is not ethical, you are just doing all these shits to destroy the good image of our country.[/li][li]The regulator (Tanzania Communications Regulatory Authority - TCRA) should also take action on banning your media in our country, and completely ban all your allies especially JamiiForums.[/li][/ul]

leo hakuna cha first to reply wala Joseverest mamae…tunyooshe baba leo tumeona umuhimu wa fwesibwukwu

haha…malaika wa kuzima mitandao kaanza kazi,acheni kulialia next time akili kumkichwa

Kabisa ndugu na mbaya zaidi eti anawataka wananchi waandamane!
Nikweli JF muhimu sana na tunaumia san kutokuwepo hewani
wengine humu tupo tupo tu
lilikuwa ni jambo lakulifanyia kazi mapema sana toka taarifa ya tcra ilipo toka
mbona kina Millard ayo walifika Tcra mapema!
Jf kwa hili wametukosea
kuikosa jf siku mbili Kumeleta upweke ndani ya moyo wangu

Ila wewe hiyo ID yako Haifai

Unataka kuja kutufungia na huku? Halafu umekurupuka, hukusikiliza vyema mahojiano ya Melo na DW, nakusihi rudia kusikiliza tena matangazo ya sa7 neno kwa neno, wasalimie sana Lumumba waambie tumekuja huku waifunge na hii

Nyumbu mnashida sana

Hahahaaa, Chakubanga una matatizo sana wewe!

Nahuku mpo

Tunawabana kote na buku 7 zenu

Why do you Say JF is an ally to DW which you claim not being fair?

Why do you guys act like people who never saw four corners of a classroom? Why dont you condemn those members who you feel are allies acording to your small brain.

Hahaha Twende kazi

Hivi hayo maswali yako yakishamba unategemea nani akujibu

Wewe ndo ukarudie maana hujui ni nini alichokiongea! Ukimaliza sikiliza na ya BBC, then kunywa Panadol, rudi kuendelea kubisha! Maana akili za nyumbu ni kama rangi ya kinyonga

siwezi kujibizana na mataahira mimi. kachukue buku saba zako muda tiyari

Hahaha Tahira humjua tahira mwenzie

Kwa hiyo wewe ukiona kona nne za darasa ndo uwe mbumbumbu wa kutotaka fuata matakwa ya sheria ili tu upate huruma ya wananchi kuwa unaonewa? Max aliamua kutokulipia usajili ili afungiwe na baadae atoke kwenye media na kusema kuwa kaonewa, na amefanikiwa kwa hilo kuwaaminisha nyumbu.

Laiti ningekuwa serikali, haki hata hiyo huruma anayoitaka ya kutengeneza attention asingeipata, na ingekuwa ndo mwisho wa Jamii forums ili ajifunze na atafute kazi nyingine, ikiwezekana hata afungue chama cha siasa

Hujui kinacho endelea

“Nyumbulism is an Art for the Puppets”

Da! hii nayo kali