Mazda Carol

Leo maadam sitoi tiba, nimeamua kuenda Nairobi kutembelea kina luther, na ule jamaa wao amenyolewa kipara. The Beast Mazda Sleeper Bespoke Carol, aka Duma wa Lami, anakanyaga hizo kilometer zote mpaka Nairobi.

@introvert nikimalizana na kina luther naja kwako kuna issue mingi sana tunafaa kusettle, na by the time nitoke kwako uende kwa kioo uhesabu nywele zako zote kama ziko sawa. oh kabla ni sahau kuna mzungu flani hapa anataka kuniuzia kiparare chengine kinajiita R1200 Adventure, unaijua hiyo?

8 Likes

Picha ya Carol

2 Likes

Usipeleke uganga Nairobi. Watakuibia Ramri zote, wanafiki wale

10 Likes

Siweki picha

2 Likes

…:D:D:D:D

Hehehe.
Karibu sana Mrogi.
Ungetuma tu Carol ije kama parcel uichukue Modern Coast jioni but isorait.
Hiyo R1200 si mchezo. Hawa watoto wakitimia wataninunulia.
Nilifika R850 nikajiona mimi ni birrionaire.
[ATTACH=full]83575[/ATTACH]

10 Likes

Ukifika samburu nigotee, nimekwama hapo siku tatu, njoo na maji ya DWL

4 Likes

Baaaaasi ndio huyo parare mwenyewe. Mujerumani ni kama ananipee sare. Ile bei anatoa, ni mchezo sana. Jamaa amekuwa heartbroken na kimalaya chake ameamua kurudi kwao. Kenya inamnukia meffi.

ati nitume beast na Modern Coast. @introvert, ile laana utakuja pata utazunguka dunia nzima bila tiba.

3 Likes

Ichukue my fren.
Kisha iwapo utakumbwa na shida ya overheating nitumie smoke signal.
I have a solushen.
[ATTACH=full]83577[/ATTACH]

16 Likes

Boss what should i be ready for before taking a trip to lodwar ?

3 Likes

Hehehe…
Tumia bahasha ya A3 size.

4 Likes

Be ready for anything, puctures, overheating you name it, also Hua kuna bandits

2 Likes

Si hii mambo Ya kuweka diesel "mwitu " tulisema uwache, Sasa nunua pump mpya

3 Likes

Sio mambo na diesel, deree alimess na computer Sasa gari haipigi

2 Likes

Itapiga tuu… Na what’s so valuable na ECU box Ya MAN trucks, zinaibwo sana?
:D:D Enyewe Hii lugha ilikuja na meli, Jana iko mtu naambia Mimi ati naongea kiembu kiswahili, naambia yeye kwetu kilifika na funds Za missionaries.

1 Like

Thanks… AL shaitan je? Clean water?

@Meria Mata uko sehem gani samburu?

Jatelo wacha bangi

@Meria Mata, correct me if I’m wrong but you mean Samburu the little town along the A109 right?

1 Like