Mazda with a rotary engine.

Hey, so I’m trying to convince a pal buying this for 400k (or any amount, really) is a bad idea. Please share ujuzi na maarifa so I have actual facts to back me up.

kaa mbali na hio engine. hukunywa oil vile uweskimwi hukunywa gibleys. plus it is so complicated. kama Japan haikuwai pick unadhani njoro ndiye atawezana nayo???

That engine is an engineering marvel…pumping out 235 bhp from a 1.3 ltr engine ! Its power-weight ratio ni kama zile za Group B Rally cars.
Lakini mwambie akae mbaliiiii nayo. Running it is not for the faint hearted and weak pocketed:D

Mafuta pia inakunywa kama ile v12 ya makanika mlevi

Thats an rx8 i guess its red in colour. Buana learn to stay away from somethings

I have the Series 1 RX7 of 1978.
Rotary engine was a beast until compression became a problem na kukunywa oil na petroli.
Nikatoa nikaweka Nissan Skyline R32 inline 6 2.6.
Pure niceness.
Tell your friend if he won’t consider modifying akae mbali na hiyo gari.[ATTACH=full]166505[/ATTACH]

kali sana

mr murefi this looks dope

:D:D:D…niaje murefi

Poa saidi Grumpy.
Demio inakupeleka aje?

:D:D:D…Demio nilibuyia Mrs kama shopping basket.

Hehehe.
The last time nilikuona, ulikuwa umetoboa roof ndio hiyo kichwa itoshee.

Such a beauty. The way I like my women. Mature and beautiful. Are those BBS wheels?

[ATTACH=full]166516[/ATTACH]
Cheza chini murefi na ukunywe WD-40

No, those are original spec Dunlops.
Had this one 15 years now.

Hio sidemirror nayo ni ngori ukitoka parking pale CBD

Hii haijaingia tao in 6 years.
Inapanguswa tu.

Wacha uongo, raila hatajua