mazy ya sponsor

#1
MANZY YA SPONSOR

(story by maxwell macharia kamau .follow on fbk )sasa kuna hii Friday niliamua kwendea mtush githurai ya kutesa weekend bash fulani ya kevo neighbor yangu sababu alikua amearika macrush wake wote na pia brayo alikua invited na alikua ainvite watu pia. Usitake kuimagine hiyo bash. Sasa nikiwa pale kuna haka kamanzy Tulipatana.
Kamanzy kalikua kasupu sio siri. Kasura ni kale unamezanga mate yote inaisha kwa mdomo inakubindi ukunywe Maji ama akupee mate urestore. Kasauti akiongea unanoji hapo hapo sababu utaimagine tu hako kasauti kakiwika jina yako kwa nyumba.Kamanzy ass, walalala hiyo ata tusiongelelee ni kama alibeba ya generation yao yote. Sasa nikiwa pale Mimi niliona ass kwanza nikashangaa kwani siku hizi mamanzy wanashikana wawili wawili. Nikaamua kuaproach. Kufika pale Mimi na ujinga yangu courage ikashuka. Nikashidwa nianze wapi. Nikaanza kujitafutisha manguo. Kumbe place nimesimama kunauzwa mangotha za wanawake. Saa hiyo ata akili yangu haiload kitu. Kwanza nikiimagine mlima iko kando yangu . Ngotha zilikua hapo zilikua za white na black ,Nilikua nashika naona kama vest. Mpaka nauliza mwenye anauza hii ni how much ndio manzy aninotice aniangalie nimsalimie. Manzy hakushughulika.mjulus ikaniambia niko na ufala.nikashika moja nikauliza manzy hii unaona kama inaeza cost how much? ". Manzy akaniambia inalingana unanunulia nani? . Nikamwambia ni yangu ya kuvaa kwa nyumba wakati niko free na kuna joto. Hiyo time yote akili inaniambia nimeshika vest. Manzy akaanza kucheka. Nikajua hapa nimewin. Nishabamba manzy. Watu fulani walikua hapo kando pia wakaanza kucheka . Nikajua baaash hii nisipobeba nyumbani Mimi ni mjinga. Nikajua sasa nimewin home area sasa naenda zonals. Nikauliza manzy unaitwa nani btw. Manzy akaniambia kwanza maliza kununua suruali kwanza. sijaiskia vibaya hivo tena walai. Nikainua sharti nione kama nilisahau kuvaa boxer. Kila mtu akanza kucheka mpaka muuzaji. Nikaamua nilipe na nibebe vest yangu. Manzy akaniambia nijaribu kuvaa kwanza. Alafu alikua anasmile. Kuona hivo mjulus ikaningotea. Nikaamua kujaribu. Nikaona huyu ni wale wa play hard to get. Nikaamua nijaribu kuvaa abambike atleast nitoke na jina pekee. Weeeeeeshe hapo ndio sasa niligundua nimeshika ngotha . Hapa sasa ikabidi nifikirie kama mwanaume. Nikageuza maneno. Nikauliza manzy ama nakubuyie. Manzy akaniuliza kwani tena huvai. Ikabidi ni mwambie nilikua najoke . Manzy akacheka akaniambia "Aki wewe. Sasa acha niwachanue, manzy akiwaikwambia " Aki wewe" na uko na roomie, mtext tu umwambie brathy jipange Leo unaenda exile ☺☺. Nakwambia niliskia capillaries zimeanza kuhama. Mjulubeng ikaanza kugonga kama roho. Nikajua mjinga unakula press ups!. Courage ikarudi 200%.nikaambia manzy kama huniambii jina sikununulii ☺☺. Manzy akaniambia kwanza niambie yako. Nikamwambia naitwa Quatahman. Manzy aka.....

Part two loading ...
MANZY YA SPONSOR PART 2

Nikamwambia naitwa Quatahman manzy akaniangalia. Najua Alishangaa hiyo jina ni ya wapi. Nikwambia usijali vile inasound 1/4. Hiyo quarter ni extra extension ya mjulus. Manzy hajaicheka hivo. Nikamuliza anaishi wapi ? Akaniambia anaishi huku tu githu pia. Aki ya nani sijaichemka mwili hivo tena. Hiyo time yote nilikua namuongelesha macho ikiwa kwa ass. Karibu nimwambie Ambia mwenzako atoke sasa . I thru! Nikauliza manzy kama anaishi peke yake. Akaniambia wanaishi na siz yake lakini siz yake huenda ushago sana anakaa ata wiki mbili. Nikaskia white blood cells imechanganyika na red blblood cells. Nikauliza manzy ama niende super Leo. Manzy akaniambia Leo hapiki. Nikamwambia ni sawa tutakaa hivo. Manzy akaniambia siz yake ako. Nikamwambia basi acome kwangu nitampikia. Manzy akaniambia ako na chali. Nikajua haka kananipush away. Kakaumana sasa. Nikashidwa ikifika hapo maneno huenda aje. Nikafikiria kumwambia acome na huyo chali yake nitawapikia wote wawili.. Nikachora faster faster. Nikamuuliza kama anasoma. Akaniambia ndio ako third year KU. Nikajua hapa sasa itabidi nicheze ki Mimi sasa. Nikaskia kumwambia angoje kidogo nipige press ups nirestart mistari. Manzy ananipush away kabisa.nikajua hapa nikiomba number ata mate nitatemewa. Nikachanganyikiwa kabisa sasa. Lakini nikaamua hii siachi. Nikafikiria kutext kevo neighbor nimulize anafanyanga aje akikosa cha kusema. Kumbe nilimtext . Kevo akaniambia nimulize anataka nimpeleke dinner lini . Eeeeeh mah. Kitu rahisi hivo. Lakini sasa ufala nilikua nimesota design ingine hujaiona. Lakini Mimi ni nani, mwanaume ni kujichocha. Ikabidi sasa nimuende ki italiano del Amor para mjulus. Nikaanza sasa kikizungu. Nikamwambia I wanna take you out for dinner, when are you ready? . Manzy akasmile akaniuliza "for real " Nikamwambia yeah it is real.Manzy akaniambia anytime from kesho. Nikamuuliza ama ucome twende home ndio kesho tutoke twende supper. Manzy akashtuka akaniangalia na macho ingine ilifanya mpaka mjulus ikajificha.hapo nikablame mjulubeng sababu Mimi siezi fikiria ushenzi hivo. Manzy akaniambia ako na haraka kuna mahali anataka kuenda kabla Giza iingie. Nikamuuliza plan ya kumpeleka super. Akaniambia atanipea number ndio tubonge later.... Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaash Nika...........

Part 3 loading
MANZY YA SPONSOR PART 3

Nikamuuliza plan ya kumpeleka super. Akaniambia atanipea number ndio tubonge later... Baaaaaaaaaaaaaaaàsh. Nikajua hii ata kunyeshe tupussy na tudogi lazima niiwai. Manzy akanipea number. Sijaijiskia Shujaa hivo tena . Mpaka nilikua naskia kuambia Kila mtu nimepewa number. Hapa nikaamua nitakopa kevo punch pekee nitamrudishia siku ya bash nibuyie manzy chipo za Mia mbili zangu za Mia na hiyo ingine itakua fare. Nakuanga mstinji lakini hii iliniweza. Ilibidi niregeze sasa. Hujaiona fisi ikiwa imeamlia manzy wewe. Manzy kumaliza kunipea number nikamwambia nimpee yangu pia just incase nisahau kutext. Ahaha utathani naeza sahau. Akanipea simu yake. Nikaeka number. Nikamwambia anisave. Kiiiiiiinugu nikasaviwa "Dinner" . Wololo ya yeh Nikaanza kuchemka. Nikafikiria kukanyanga hiyo haga yake niipige mateke na nimwambie ata matako yake ni fake. Lakini nikajishika kimwanaume. Mjulus ikaniambia stick to the mission. Kwa stori kama hizi hakuna kitu hukua makini kama mjulus. Sababu inajuanga later ni party. Itakula mpaka itapike . I thru. Manzy akanotice nimefume. Akaniuliza kwani unataka nikusave aje. Nikamwambia si ata ungenisave tu na jina yangu Quatahman. Akasema hiyo ni ngumu hataeza. Nikachukua simu faster faster nikajisave. Sasa nikakumbuka kesho the following day ndio bash ya kevo.alafu sasa hiyo kesho ndio anataka twende dinner Nikajiambia hapa sitoki. Tunaenda pamoja na lazima kawake. Baaaas plan Mara hiyo hiyo. Nikamchapia manzy instead ya kwenda dinner kesho Leo twende kwangu sleepover alafu kesho mchana twende hike jioni tutajua niaje. Mjulus ikashtuka. Ikatoka nje ya boxer na side ya chini ndio isikie lound and clear vile manzy atajibu. Ilikua kitu 6 jioni. Manzy akaniambia 7 anaenda kwa aunty yake na haoni kama atarudi. Akaniambia atarudi kesho morning sababu itakua usiku Sana. Hehe watu wangu hapa nilikua quarter finals. Nikaambia manzy ata kama ni saa Sita nitakukujia. Wah sijai tia bidii hiyo design tena . ata Yule manzy wa DRY SPELL ni eti alijileta tu. Sasa hapa ni bidii. Manzy akaniambia aunty yake ni mstrict lazima atamwambia alale ahome kesho. Nikamwambia aende apeleke chenye anapeleka alafu amwambie amesahau kufunga nyumba na hiyo ploti Yao haikuangi secure viile. Manzy akaniangalia akismile. Nikajua hapa bet ni kichwa. Manzy akaniambia arush by 8pm at anicall. Eeeh mah huyu manzy hakuelewa sitaki kumwachilia aende sababu akienda nitakulishwa Blueticks mpaka skin colour yangu ichange. Nikamwambia nimpeleke nitasimama kwa gate. Haiyaya Wacha nikumbuke vile niliacha keja ikikaa. Weeeeeshe hapa lazima tu nimwache kwanza aende nikafanye general cleaning. Nikamwambia nitamcall exactly 8 . Baaaas nikapewa kahug ☺☺. Ng'ai ng'ai ngaaaiii. Gogni tissues hazijaichangamka hivo tena.sometimes natumianaga Mjulus kufikiria .ikaniambia nigrab hiyo haga. Kumbe bado sijaachilia manzy na mkono iko kwa eskepum pum. Wah si hiyo haga ilikua kubwa yaawa.nikaachilia manzy akaenda akismile na Mimi huyo mbio mission general cleaning. Baaas sijailipa Honda nikienda kwangu Mimi, hiyo day ilibidi nicheze ki Mimi sasa. Nika.............

PART 4 LOADING
MANZY YA SPONSOR PART 4

Ndio Mimi huyo. Nikachukua honda. Sijaiumwa hivo tena. Mission sasa ni General cleaning . Mara pap nikafika. Kufungua mlango utathani Nacheza foota na vyombo. Zingine ziko kwa floor zingine kwa kiti.jana nilikua nimekula na sufuria sababu vyombo nimeosha mwisho last week Ex wangu alikua amenimiss tukaamua kurevist...nikaanza kazi sasa. Within one hour cos ilikua already 7pm nipigiwe simu niendee shaakula Nikaomba kevo pliers cos Kuna vile kitanda yangu ilikua imeregea kiasi.kevo hukua na tools zote . Akanipea na akaniambia next time nisiite pliers. Niite silencer. haraka haraka faster faster nikamaliza. Kichinjio iko seti. Sikupika nilijua atatoka kwa aunty yake akiwa amekula.mimi Nikatokea base fulani hapo inapikangwa mutura na ugali. Nikaamua kujifuel sasa. Huyo manzy ni treler gari kubwa. Nikagonga ugali karibu itoshane na haga ya manzy Sikutaka kukwama katikati.nikajifuel fiti sasa. 7.50 ikafika. Ten minutes kawake. Nilikua nafikiria kuomba kevo tips lakini nikajiaminia. Nikarudi kejani sasa nikaeka simu kwa charge na nikaconect na woofer na nikaeka full blast just incase nisinzie iniamshe. 5 minutes to go. Saa hiyo yote mjulus inapiga sit ups kwa boxer. Iko standby utathani ni mwanajeshi anangoja war. Macho haitoki kwa simu. Nilikua kublock Kila mtu nibakishe number ya manzy. Nilikua na kauoga sababu Hawa mamanzy wa campus siwaaminingi. Lakini design mjulus ilikua na Imani na kuchangamka ingine mwenda ungethani ndio itatoka imuendee. Saa mbili ikafika. Nikafikiria nicall lakini sikua nataka kukaa stubborn nianze kusnobiwa. For the first time nikaamua kukua patient. Nikaamua nangoja ten minutes alafu nicall sasa. Weh nakwambia hii feeling ya kungoja manzy hufanyanya mtu ahisi shode hakuna, kwanza sasa ukiimagine ulidanganywa hatacome unaeza kunywa sumu. mimi saa hiyo nilikua nakaa zile masafari rally nangoja tu kwambiwa Go kawake.Uuui time ikaamua kusonga. Haiyayaya sijaisweat hivo tena. Nikaamua kumcall sasa. Nikamdial. manzy akapick.nikamwambia ni saa mbili na bado nakungoja. Manzy akaniuliza nimepika nini . Nikamwambia bado sijapika nakungoja tupike. Saa hiyo naskia roho kwa magoti . Ilikua imepelekea mjulubeng mushene Leo lazima itapike. Manzy akaniambia ndio anatoka nitoke pia tupatane giithu stage. Ushawaikimbizwa na dogi. . Wah mbio nilitoka nilikumbuka Sina sharti nje ya gate. Nikarudi kuchukua tisho kuvaa, chaaaaape, mpaka stage. Ata sikuvaa sweater. Nikacall manzy tena,akaniambia......

PART 5 LOADING
MANZY YA SPONSOR PART 5

Wah mbio nilitoka nilikumbuka Sina sharti nje ya gate. Nikarudi kuchukua tisho kuvaa, chaaaaape, mpaka stage. Ata sikuvaa sweater. Nikacall manzy tena,akaniambia ndio anapanda Matt niharakishe. Akaniambia nikidelay hatasimama stage more than 5 minutes. Aki mamanzy mko na matako kubwa na maringo ya shilingi mbili wao hukua hivi . Sikusitasita. Honda tena mpaka stage. Nikafika before manzy. Nikaamua kuchill sasa . Nikaanza kujifanya hakuna kitu nangoja sababu mbogi ya stage haiezi nieka eka. Kwanza kama unangoja manzy unaeza pakwa ata mavi.baaas nikaamua kupea manzy 5 mins then nimcall. Saa hiyo naskia mjulus iko straight tukifika kejani ni kuogelea tu. Hakuna cha ooh nini. Hawa watu huchange mind haraka Sana. 5 mins zikaisha. Nikacall manzy sasa. Round one hakupick call. Eeeh mah wenye mshaingoja manzy kwa stage mnaelewa hiyo feeling. Mtu huanza kujijazia sasa. Lakini mimi nilijiambia maybe ako kwa Matt haskii simu ikilia☺. Nikajipea hopes namna hiyo. Nikangoja tena another 5 minutes. Nikafikiria kucall lakini naogopa kukua stubborn. Sitaki manzy aone nataka saaana aanze maringo. Nikaamua kutulia sasa. Saa hiyo nguvu Niko nayo, ugali nimebomoa walai, naskia tu vile pulmonary veins zinapeleka proteins kwa mjulus. Nayo mjulus inaitisha kuitisha ikieka stock. Hakuna cha kuchokea katikati.leo lazima vumbe itoke mahali. Nilikua nimeamua kurarua hiyo eskenunu esklebete yake mpaka inuke tire., nibomoe hiyo haga mpaka ipungue. manzy nikamngoja sasa. 10 minutes zimeisha bado hajafika. Weeeshe. Nikaanza kutense sasa. Ikabidi sasa nimcall nijue way forward. Nikamdial tena, saa hiyo nimetense naogopa jinga ikose kupick call. Aha manzy akapick. Hakutaka stori mob. Akaniambia ananicall after 10 minutes. Nikashidwa kwani hapa tu imekua rongai, . Hapo nikaskia nimechezwa. Nikamuuliza kwani ako wapi. Na aliniambia ako kwa Matt niharakishe asifike mbele yangu. Wah manzy akaniuliza utangoja Ama hutangoja. Hapa sasa ndio wananume tunasemanga your wish is my command. Ikabidi nicheze chini sasa. Already ni usiku na giithu ukikaa vimbaya utakuta umeibiwa mpaka feelings. Sasa Wacha feelings, giithu ukipewa kiss usiku hesabu Meno pia . Unaeza shukia huna pre molars. Nikatulia pale karibu one hour. Nikajiambia maybe aunty yake ni wale wamathe wasturbborn maybe ameenda kutoka akapewa kazi. Saa tatu ikagonga. Aaaaaa mjulus ata ni kama ulisinzia . Ililala kitaaambo. Mimi kabaridi kakaanza kunivaamia sasa. Ikafika mahali nikaamua kusare sasa. Nikamcall sasa ready kumwambia ata simtamu. Nikaamua akiniambia ningoje tena nitamwambia ata sitaki, labda ata ni borehole nakimbilia hivi . Manzy akachukua call. Straight to the point, "umefika wapi?????" Manzy akanishow ata ashafika. ☺sijaifeel vizuri hivo tena. Baridi nilikua nahisi ikaisha. Mjulus nikaisikilia kwa boxer ikipenetrate, eeeeeh mah iliamka kitaaambo. Baaas tukaongea na manzy. Nikamuona akishuka Matt. Alikua amebeba kipaper bag kikubwa kimenjaa mavitu ni kama alikua shopping. Ndani kulikua na masnacks, mathwiiti, mageeki, mablackforest khaii,, aaaaiiiiiiiii nikachanganyikiwa kidogo. Manzy akaniangalia. Aka................

PART 6 LOADING ASAP
MANZY YA SPONSOR PART 6

(story by maxwell macharia kamau.follow on fbk )

Baaas tukaongea na manzy. Nikamuona akishuka Matt. Alikua amebeba kipaper bag kikubwa kimejaa mavitu ni kama alikua shopping. Ndani kulikua na masnacks, mathwiiti, mageeki, mablackforest khaii,, aaaaiiiiiiiii nikachanganyikiwa kidogo. Manzy akaniangalia. Akaona nimeshtuka. Wah sijaiona nimepigiwa smile Kali hivo na manzy amebeba kama Vera sticker sikuku shikwekwe shidwe. Baana nikajua hapa sasa huyu manzy sasa hanijui. Yani anakuja mpaka na masnacks. Kuchungulia kidogokidogo nikaona ma peanuts baaaaaaash na nimekula ugali eeeh, na hizi ni peanuts eeeh, supu nimenyonya jug mzima eeehh baaaaaash Leo kwa hiyo plot neighbor itabidi aombe makao Leo. Hii haga naipepeta mpaka iyeyuke, nikaamua hiyo eskenunu lazima ihame Leo. It's either ihame Ama mjulus ihame hakuna yenye itafikisha asubuhi ikiwa uhai. Nikaamua namfanyia vile nilifanyia manzy wa DRY SPELL. kama hujui tafuta hiyo stori usome. I thru..
Ata sikutaka kujua vitu zimetoka wapi, borake alikua kwa aunty yake. Manzy akaniuliza kama nitamsaindia kubeba. Eeeeh mah unauliza. Nikabeba mzigo sasa. Nikafikiria nilipe honda kama tano hivi zinipee escort niland kwa hiyo plot kiprezo Sababu maneighbours walikua wamezoea kuuliza kama nakuanga normal, sasa wajue Mimi sio wa kuchezewa. Waone haga nalandisha kwa hiyo ploti na shopping nimebeba. Ahah weh dooh ndio ilikuanga issue sasa nilikua nimebakisha fare ya watu wawili ya kuteremka na yake ya kesho ya kupanda. kwanza nikikumbuka keshoye nimempromise dinner, magoti inaisha nguvu. I thru, tukapanda, saa hiyo naskia tu kupiga nduru watu waone mlima naenda kubomoa. Manzy akapanda Honda wa kwanza. Weh weh ata singepata space ya kukalia. Haaaaga mse, haga imekula space yote. Haaya ikabidi ndeere asonge kwa tank alafu manzy ainuke kidoogo akae ni kama ananikalia . Ng'aiii ng'iiii ng'iiiiiii ng'aaaaiii, manzy kunikalia kumbe alikalia mjulus, nayo kusimama imesimama utathani ni member of Parliament.wah manzy kuniangalia aliniangalia, ile look nilipewa, ile smile alinichapia . Nikajuaa baaaash ushapima kitu na ukaskia size ni ile ya kimoda.. Sasa Wacha manzy aniulize, kwani nimekukalia nisonge mbele kiasi? Eeeeee mah, atiiii a haha Mimi hujanikalia, nimwambie amenikalia Mimi, na hiyo utamu yote,nikaamua kama ni kuvunjika Wacha nivunjike... Manzy akaambia ndeere asiende haraka ataumwa na kichwa. Nikajua kiiiinugu kumbe unaenjoy kukalia mjulus yangu. Madame muachange kujifanya saa zingine... Haaya tukafika kwa gate. nikapata Gate ishafungwa . Baaaas nikaambia ndeere hapa ni upige horn mpaka hiyo location yote iamke. Ndeere aka.............

PART 7 LOADING ASAP.
 
#11

:D:D:D:Dbudah...pewa like na part six ifike haraka zaidii
:D:D:DLakini design mjulus ilikua na Imani na kuchangamka ingine mwenda ungethani ndio itatoka imuendee.
 
Top