mbaluto... My young Grandfather

katika familia za kiafrika hakukosi mtu mmoja kwa family ambae watu wanadharau lakini kuna issues flani za kifamily anakuaga important,tuseme anadharaulika sana sababu hana pesa ama yeye ni wale wa “twende unibuyie kikombe”…well that man in our family alikua Mbakuto or baluto,but juu sisi ni wakamba tulisettle kwa mbaluto,alikua mdogo wa my grandfather, mimi nikijanjaruka nilimpata akiwa around 60’s…kulingana na stori alikua amekataa kumarry hadi alipokua 40s akalazimishwa kumarry by grandfather, my grandfather ndie alikua 1st born kwao na alikua ni ex millitary alipigana WW2 ,he was no nonesense guy,so ikabidi wametaftia mbaluto bibi na since alikua amezeeka kiasi wasichana wadogo hawangekubali…so alioa mama flani amekomaa,alikua na watoi nne! wote wanawork.but as we all know mke wa kuletewa hamuwezi elewana,anakuona bwege…thats what happened to mbaluto,yule mwanamke alikua anamtesa sana…hampei chakula baya zaidi hampei nunu.ikafika mahali kila mtu anaishi kwa bedroom yake.ikawa mbaluto akiwa kwake anaangalia kwetu akiona moshi anajua tunapika,anakuja saa zile dish inapakuliwa,hadi watoi wakampa nickname “timing”… nahisi hio kufika wakati wa kufturu ndo sababu kubwa watu kumdharau…

my grandfather alipokufa,yeye ndie aliendesha shughuli zote kwa family ya my grandpa kama mzee....kuchukua mahari,kugawanisha mashamba na pia kuleta family pamoja wakati wa migogoro.mimi nikienda home nilikua nambuyia karubu chupa kadhaa...anway juzi juzi nikiwa hustle zangu nilipigiwa na cuzo wangu akaniambia mbaluto amekufa!..nikamuuliza kipi kimetokea....stori ilikua ivi........juu mbaluto alikua apewi mzigo alienda akatongoza kasichana flani since kakiwa class 6 hadi saa  ii kako form 3 wakawa wanafuck sasa kasichana kakaamua kuanza kum blackmail... kanamwitisha doo na nguvu ama kakamseme kwa chifu...vile blackmail ilizidi mzee akakunywa sumu ya  kuua ants  akafariki. 

.
.

RIP PETER MBALUTO ntamiss sana zile siku tulikua tunalewa karubu tunaongea kizungu nyingi

very sad, may Mbaluto rest in peace.

Boy child cannot have peace even in old age! RIP Mbaluto

Did he leave a suicide note saying he killed himself because he was being blackmailed? Else how was it known?

he left a note

:D:D:D:D:D:D:D

Wekeni hizi set books kwa mfuko

A man in his 60s was taking advantage of an underage class 6 girl na hauoni kasoro na hio story? This is an individual who should have been locked up years ago. who even knows what else he was up to.

Stori ya fala

timing:D

Whatever you don’t do in your youthful ages will come your way uzeeni. Alikataa kutongoza tuschana wakati wake sasa those are the results. Anyway Pole saint.

Hope hio class 6 ni ya ocha…yenye mtu ako 19 but ako primary

i don’t entertain paedophilia but @patco wake up this happens a lot.

He won’t RIP. Suicide is a one way ticket to hell…

Pole

you may be related to Mbaluto, the former high court Judge. former busherians kina Vuja Chieth na Okiya may know Tom Mbaluto

labda bibi take hakuwa anashikia akiomba nunu,si wahenga Wa huku huwa wanasema Mkamba akikunyima hajashikia vizuri?

pure blood hamia Matuu dryspell iishe.

na sisi watu Wa duke tunajua nani?

Mudavadi

Ng’ombe

hapo ni yeye na mungu wake… we are not in position to judge