Mbambe na kadress.

Mrembo akikam sleepover utadai kumtoa dress wakati wa kulala. Lakini, utamtoaje dress ambayo hujanunua? Mtafutie poa hapa Nairobi town. Only at Fabulous Fashion, Sasa Mall, along Moi Avenue, adjacent to MKU campus. Only at 2500
[ATTACH=full]254016[/ATTACH][ATTACH=full]254017[/ATTACH][ATTACH=full]254018[/ATTACH][ATTACH=full]254019[/ATTACH][ATTACH=full]254020[/ATTACH][ATTACH=full]254021[/ATTACH][ATTACH=full]254022[/ATTACH]

2500 ni shots ngapi pale rifa rori?

Chief, nimetafuta hiyo stall kwa Gugu maps naona iko karibu na Sonford & Sons.

And just like that, mbuzi zetu zinakuja kwenu…

2500÷200=12.5

Leta tutazipokea.

Dress no 6 nimetick box.

For women is this official or casual?

Mzee… We still need your political nuance come 2022. Hii inademand roho haina pacemaker.

ebu usitukazie maisha, angusha tu namba ya huyo dame.

This is why I say young people today are just losers. Umepatiwa jina ya stall mpaka mahali iko and you cannot do the rest? mimi nimeingia mpaka Gugu, ni ka-locate hiyo place to the degree na kesho niko hapo tukikula chips Sonford…serre!

Mboss huyu.mrembo huwa ananimaliza nguvu kwa joints zooote functional mwilini mwangu.Fanya mambo aki

Umenichanua sasa, nkikakalisha Highlands vip lounge, migu katanipanulia. shida kanaka single matha lakini aina neno ju mi nakulanga nkiendanga.

Huyo lady huwa anakaa kama mtu amekunywa soda flat.

Dress namba 4, 5 na 7 lazima ninunulie my okuyu wife zitamtoa curves poa Sana’a

[ATTACH=full]254034[/ATTACH][ATTACH=full]254035[/ATTACH]

Sasa mall

Even you , you admire the fairer sex?

Edith Nyambura…salimia yeye sana

Why do you lust at “kafir” women. Siuende kwa hao wenu wanajifunika kila kitu isipokua macho.

Leta mbuzi twende kwao