Mbele Iko Sawa. Final year imejisimamia.

Ya final year imeingia. Hii life natoboa wallaih.

Young man on the rise.
[ATTACH=full]253300[/ATTACH]

Na uchape hustle iyo 50k upate upesi kabla mwaka iishe

Pesa kidogo sana…according tu current standards even for a university student.hio huisha bila ya mtu kujua

50gees ni ideal kwa mtu anawork akichop

small money there …

You must be an orphan.

Take heart Tommy, focus on the essentials and you’ll succeed. All the best.

That money is a means to an end.
As for the END, it’s for you to DECIDE.

Make good use of this opportunity, don’t come out of school empty handed, have those papers and work hard, all will be well. Nothing comes easy.
To yall idiots teasing him, shame on y’all, hopeless lot.

usikue mjinga kama @Randy uende Luthuli kwa mapoko venye @Randy hufanya

At his age, hiyo ni pesa mingi, kwani nyinyi mkiwa colly ,how much did Gover lend you?

This is rich coming from pedophile. …

Is this you?
[ATTACH=full]253341[/ATTACH]

Hapa kweli kabisa.

School fees ikishalipwa siwezi shindwa kusoma bana. Hio ndio huwa stress pekee.

:D:D:D:D:D You totally lack perspective. Usijali lakini jua hukusalimia mungu kwa mkono.

Niko na wazazi na bidii, pesa ndio shida kidogo.

Thank you very much. Hapa ni bidii na juhudi tu.

Niaje Dictator Wesule…

Dictator Kwesule*