Mbirrionares who Drive The Porsche

Niko na quotation hapa kwa desk that needs my approval ati brake pads ni Kshs 162,931.00.

Hapa ni mtu anataka kunishikisha handball ama these things cost this much?

Badilisha hiyo heading iwe Porsche ama tukukujie saa hii.

Alafu ni model gani? Panamera, Boxster, 911, Cayman ama Cayenne?

calipers?

this is the quotation for one on ebay

[ATTACH=full]95533[/ATTACH]

so may be plausible if you factor in taxes for all four

Cayenne.

To be safe give a call to Porsche center Nairobi +254 730 193000 posing as a client then ask for the cost of replacing them.Let them send you a quotation kwa your work email to save your ass from auditors

Yani admin wa Kende moja anaendesha Porsche Cayenne:eek::eek::eek:…

The fact that you are asking is all telling.

inaeza kuwa. The price for 4 + VAT 16%

Usipofuata hii advice unafaa upoteze hiyo kende ya pili uwe ball-less!

Weka tu za probox ya introvert,huwa zinaingiana

anything that justfies that price

Hehehe.
Mimi nilibahatika a while back.
Nilipeleka pads rebonding kwa Mhindi akatumana kwa store niletewe dead stock ya kutoka 1981 nikauziwa complete set 100/= bob.

sijui ukritimba nini, lakini we unakaa kukua nayo

Bi-turbo S?

Hehehe.
Gari ni ya 77.
GM Mombasa Road do not stock any of its parts. Siwezi tumana brake pads mpya when Varsani will do a perfect job rebonding at a fraction of the cost.

I came across similar insinuations in another forum, though no absolute figures had been mentioned. It was inferred that ‘ikifika kwa brakes servicing ndiyo utajua kweli hiyo ni Porsche’.

You lucky one!!

Hehehe.
Now every December I swap and take the other set for rebonding.

Tuseme siku hizi mahindi inabebwa
Na Porsche ikienda kusiagwa???

Isorait.:eek::eek:

No wonder bei ya unga imepanda

Kende-mosi fuata advice ya @Ice_Cube hapo juu.