Mbivu...

…na mbichi zitajulikana leo. Crybabies, the gunners, are quaking in their boots.
Tott’ham take on recently shaky city…how many suicides at the end of the day?

1 Like

if city and arsenal lose today, Leicester stands a really good chance of taking the league

1 Like

Totenham ni moto kama pasi sahii, Leicester City lazima walale.

1 Like

Hii thread ilinipitaje…saigine weka title inamatch contents ya thread. Unaongeaje kuhusu Arsenali na mzito akose kujua. Anyway Arsenal tukikosa kushinda leo itakuwa sida coz nxt EPL games ni Man utd (away) alafu Tottenham

1 Like

Apana tambua hizo zote, mpaka Leicester na Man-City.

nitahepa aje madam ndio nikaamua watch game,ako rada mbaya hadi anajua game zinaanza saa ngapi

Waaaa we have a date with MC…kwanza ni away siet

If she loves u tell her this match iko important to u. Watch it pamoja

Leo ni kubaya, ukitoka madam anafikiri umepeleka mpango Valentines.
The best result should be an all round draw for all teams.

itabidi nimempeleka lunch na tukae place stratagic(read karibu na a big ass TV) shida moja ni anakuanga na maswali zina irritate

Leo Arsenal watajua maana ya kitendo FIRWA.

1 Like

Dhamiri zenu ziwasute. Leo Arsenali yashinda. COYG! UTA! COYG! UTA!

1 Like

Arsenal watajua kwa nini kwa mbwa ni nje na kwa paka ni ndani?

1 Like

HT,
Arsenal 0-1 Leicester.

Wenger out.

It will be a valentine to remember for the gunners…the title hopes will ditch them today.

Haters everywhere. Siwaoni sasa mkizungumza. Meffi.

1 Like

Umeffi tu na wengine wako relegation dogfight

1 Like

arse-annal won.
no suicides

Spurs has also won.

1 Like