Mboch Hasara

Uncle best is a very dissapointed man. Jana jioni while at work, nikapigiwa simu na maid akaniambia " Boss gas iliisha asubuhi" nikashangaa kwani wanachemushianga maji ya kuoga na kuna shower? Haithuru!!! nikacall msee wa gas nikamwambia apeleke K-gas 13kg na meko 6kg ndio nisikie hiyo story soon.

Jamaa kufika mtaa ananiambia amepata the 13kg empty cylinder lakini 6kg haikukua. Aiii ni nikauliza mboch kwani ilienda? To my surprise maid anasema ati alitupa vile iliisha. ULITIPA!!! I was very mad manze mtu anatupa aje gas ati coz imeisha. Hadi saii nashindwa nimfanyie nini.

Siwezi mmfuta coz kwao wako 11 na wanamtegemea wote.

nunua leso, funga kwa kiuno, alafu uambie admean a change handle yako ikuwe auntybest na ikuwe ya pink!

Maneno ya jikoni na mboch wachia mama

Let me laugh, then tell you Sh!t happens, Nunua cylinder ingine. Seems like u never gave her proper Orientation and training.

Anakupigia kama nani?[SIZE=1] Ama unapata slices?[/SIZE] Vitu za kitchen ni za wife hufai kujua nini huendelea huko.

hii story ya kutupa mtungi si tumewahi skiza hapa kize, mpaka ile design supu alikua anasema pan zile za kufry mayai (zile huwa hazisuguliwi) inasuguliwa na steelwire na miss mboches

you have taken my words. is alright. i endorse…mambo ya watu kuchukua blonde facebook jokes na ku-customize ni um…

Change your name to Uncle Recycled Meffi

Ancolli are you married? Juzi you were asking for an advice on how to hunt a lady na @Okiya rose the occasion and gave the best advice. Ulisaidika? Ama alikuwa mpango wa kando?

simple just dry fry ady kwa mkia na story ya kitchen upelekee saloon

Uncle best bado watu was mihango wana beba matawi?

MZAE una umoshodo mwingi sana na upam ndani yako…

upuss

wacha ujinga boss. na vile nilikuwa nimekuheshimu

Make her feel very guilty and threaten her that her job is on the line unless aweke slices…

Attention whore!! Hii joke tuliskia bado nikitumia napi!!

and even then you didnt laugh. :slight_smile:

Haiii Uncle Best. Where was your “wife” when all this was happening? Or are you the wife?

The food chain/Protocol has to be very clear:Wewe-------Mrs-------Watoto------Mboch-----Soja------lanye----Auditor

@Uncle Best = @Gio = MEFIIII