Kama uneshasikia kuwa tunaishi na friendly bacteria kwenye miili yetu. Bacteria hawa tunawahitaji
Husaidia digestion hasa ya fibre
Husaidia kubalance mafuta ya mwili kwa kuyeyusha excess body faty kuwa amino acid
Kuimarusha immune system
Kenya maziwa ya kula angalau busy cucumber, nyanya, madani kidogo ya cabbage na carrot kwa siku. Unaweza kula kabla ya kwenda kulala wakati unaangalia news.
Utaona matokeo ndani ya mwezi mmoja, psychological changes utakuwa mtu wa furaha pamoja na physical changes.
They are not errors, just that watu hapa hawataki kujifunza lugha ya afrika mashariki.
Endelea kuleta nyuzi za namna hii. Kiswahili lazima kiendelezwe…na usiwape translesheni…
Kiswahili sio shida ndugu. Shida inajitokeza wakati mtu anapochanganya lugha mbili katika taarifa bila kuzingatia mfumo unaofaa kwa hivyo msomaji anajipata anakanganyika.
niliwahi ona uzi kule ukisema juice ya stafeli ni nzuri kwani unaondoa bacteria wabaya na wazuri tumboni lakini sio ya kunywa kila siku kwani huuwa hata bacteria ambao wana faida kwetu tumboni kwani ukishawamaliza hao bacteria itabidi uanze tumia madawa ili kufanya mumeng’enyo wa chakula, je hili lina ukweli?