What Jah bless na man curse.[ATTACH=full]255030[/ATTACH][ATTACH=full]255031[/ATTACH]
I hope hii hamjaunda na pesa ya wizi!
Chunga usisahau ukuje ujiibie madirisha plus vioo
Mawfi ya punda
hii nyumba ilikuwa ya mzae wako ni renovation unafanya, hii meter box na hio airvent ndio zimekuuza
hapo kuna ka ukweli apan chesa na csi
Mawfi wacha wivu
Maliza that khasia. @johntez addi gaza msafi uta Hama lini chieth. Nduyo @tall mnyama everywhere alihama akakuwacha ukinyonya.
Mathais uza mkia Kama @Kimakia bila kunitaja
Ata na uchawi kuna vitu zingine i can’t imagine a fundi doing in my site…
Ebu weka ile pigsty yako ulikua umeweka tu tank twa 250l litres tuchambue.
Buda, sio kwa ubaya but io gutter box imekuuza…this is not a new house.
[ATTACH=full]255094[/ATTACH]
boss lazima tu ungenitaja?
Sio wewe uli rathwo juzi kule Kariobangi ukiwa na dame yako.
Sasa nilikula kuku bure kusherehekea
Pole to the family that you ibiad the house,hata hivyo Hui sio achievement
Wizi wewe