men what made you cry,yani ukasafisha macho

#1
am not talking about funerals or heartbreaks,any situation ilifanya ukamwaga machozi...

example ile story ya @Saintonthebeathoe kupata wife anakamuliwa apo machozi kutoka inakubalika

sasa yangu munaijuwa vizuri nisha angusha heka, vile jamaa alinicon 20k halafu nikienda kwa shop yake anaita soja natolewa nje, sasa siku moja nikaenda aka shout uyu ni mwizi soja akakuja akanitoa na makofi,na vile mimi ni mrefu iyo haikunifanya nitoe machozi, lakini nilipo angalia nyuma jamaa akani flip off middle finger :( apo niliskia machozi imemwagika kama gasoline macho zote mbili.

lakini fast forward u know the story miguu ya iyo fala tulivunja...nigga still on a wheel chair:(

iyo ingine ni biz related, jamaa wa Thalasa made an order wakanipea depo ya 5k only nika insist wanipe 30k wakasema pesa iko tutakupatia ukideliver vitu...nika purchase vitu over 60k profit ilikuwa inakuja double...the event ikakuwa cancelled....sparta uyo na product zake, kufollow up nilipwe nishamaliza kazi....nilizungushwa na apo ndio nilichomeka....l only managed to sell zile vitu sikuwa nimebrand...jicho moja ilitoa tu machozi:(

angusha heka yako
 
pamba

Village Sponsor
#4

@Ice_Cube link ya jama akipata bibi akikamuliwa, hio ilinipita, mimi nishawahi liya ile siku tumbo iliniuma, thought of committing suicide, tumbo hakuna mchezo.
 
#5
:D:D next utasema ukikataa kitungu unalia na husumbui

tumbo hakuna mchezo.
tumbo noma kwanza kwa safari :( halafu ukuwe hauna pesa enough ya kuchukua motel ama kuenda hosi...no wonder ukitravel long distance dont eat izi chakula za barabara ama kubuy maji kwa vendors.... naonagaa mutito watu wanararua nyama na wahurumia
 
pamba

Village Sponsor
#8
:D:D next utasema ukikataa kitungu unalia na husumbui

tumbo noma kwanza kwa safari :( halafu ukuwe hauna pesa enough ya kuchukua motel ama kuenda hosi...no wonder ukitravel long distance dont eat izi chakula za barabara ama kubuy maji kwa vendors.... naonagaa mutito watu wanararua nyama na wahurumia
Ulcers ni mbaya Timo, nilikaa hosi karibu two months, imagine unawekwa pending karibu wiki N.B.M under observation juu unaeza enda operation matumbo ikatwe, nilitoka hosi nimekonda kama pole.
 
#10
Eish, mimi huyo na mbuyu accident, ikabidi mi nirudi ndani ya Nissan Kunvuta hadi nje dinga ikiwa upside down na inatoa moshi, sahizo yeye hajitambui so navuta tu body unconscious, yangu machozi ilimix na damu ikitiririka tiriri tiriri ju nilikua na cut kubwa kwa eyebroz, kitu fiti tulisurvive na mbuyu alifructure part of backbone
 
Tom Bayeye

Village Chief
#11
kuna time flani nimesahau kufunga kale a button kamoja ka boxer after nimemaliza kunyunyizia fence ya wenyewe ipate nourishment ya ammonia,mimi na mbio zangu nika funga zip,what followed next can be described as a cross beteween 1o million papercuts dipped in salt and bitting your tongue eating your favourite meal
molido-01.jpg
 
#14
Eish, mimi huyo na mbuyu accident, ikabidi mi nirudi ndani ya Nissan Kunvuta hadi nje dinga ikiwa upside down na inatoa moshi, sahizo yeye hajitambui so navuta tu body unconscious, yangu machozi ilimix na damu ikitiririka tiriri tiriri ju nilikua na cut kubwa kwa eyebroz, kitu fiti tulisurvive na mbuyu alifructure part of backbone
waaah pole kaka....atleast muli survive aki na vile seat belt na sparta hawaskizani
 
byro

Village Elder
#20
Juzi nazunguka shamba nikiangalia kama jirani amesongesha beacon, huku naongea na simu.
Nikashikilia mti fulani Kumbe nimechokoza wasps. Niliskia stiiiiing stiiiiing kichwani...sikujua nikitupa simu Na kuanguka chini. Sikufichi chozi lilinidondoka!
:D:Dhii inafanya kichwa iende in a coma but mwili unaenda mbio.
 
Top