mercedes benz experts kujeni

[ATTACH=full]95057[/ATTACH]

How much will it cost to repair this. Its not mine but saw this on jm baraza forum everyone there is quoting his value and i thought it would be lame for wanakijiji not to have their say on this
Perhaps we could teach one another one or two things

@introvert angetuambia lakini huyo ni blacksmith. Unless ngari iliundwa kutoka pig iron hawezi saidia

Hehehe. Saitan.
Offer of the month: Horseshoes.
An Easter treat for your hooves.
:D:D

Mi naweza sema cost ya tyres pekee

:D:D:D

:D:D

Hii weka zile bullbar za 4x4s until he learns to drive

Hiyo pesa ni mingi. Wing panels, bumper assy, bonnet cover, projector lamps, other lamps, guards etc.

Insurance watalipa

hata nikapewa bure ii siwez chukua

Come on… Tafuta mukurino udanganye!!!

Chukua tu halafu uweke nose cut ya Probox. Mercedes Penx.

hehehe wah an S Class shieeet

Lakini inalingana kama parts atatoa wapi. Anaweza toa kwa car dumps kama ingine niliona nyuma ya kasa alafu apige gari rangi ikae tu fake. Akiorder parts kutoka pale sindelfingen ata ni heri kununua mutumba ya japan hii alishe kuku ndani.

Uliza dereva wa muindi ana weza jua hizi vitu

1 birrion

Damn! There are more wires and components in that small area than there are in three proboxi

Hii lazima mtu aione physically. All else will be way-off-the-mark guesswork.

Is that the plural of probox?:D:D:D:D

for real this is 6 million imekaa apa… kenyans are damn. c uchuke bure alafu uiuze 2 million basi if you really dnt need it

Kupata mech mpoa ndio mezesha. But once you do it’ll be a breeze.