Mercedes

#10
maisha ingine inakuchaguanga sio wewe unaichagua. Kama wewe ni wa kutumia city council parking badala ya private parking merci sio wako. kama wewe ni wa kungangana na manduthi huko downtown mkigwaruzana na probox merci sio wako. Kama wewe ni wa kuwachia wochi 20 bob akifungua gate merci sio wako. kama unaishi kwenye hakuna lami merci sio wako, ebu kwama na merci kwa matope uone raia ikikukamua mbuzi mzima.
 
#15

Ahaa mtu napeanga 20 bob ni wa pressure tu. nitanyemelea na c200 wakumbwa nione hiyo reliability ya germans vile inaambiwa ni mbaya ni ukweli.
 
Top