Ati Mwanamke Ni kama mabati, usipo mpigilia misumari vizuri, utampata kwa jirani.
Hadithi bila picha ni sawa na mutura bila nyama…
maskini akipata, vera sidika hulia mbwata
Chips ni Viazi.
Kitambi na mimba zote ni bidii ya mwanaume
[SIZE=7]MKULA HOHO HUNYAMBA HO-----HO[/SIZE]
Kama una watoto wa kike, jitayarishe kuwalea wajukuu, wanaume siku hizi hawaoi.
Hate maji chafu huzima moto
Shimo mbaya ni la nyoka tu
Vitisho vya mashuzi havipasui suruali
Mkaa kaa na mbwa hujua kubweka
Akupatiaye mbaazi yuakutakia mashuzi
Tumbo ndio hushuta, matako ni spika tu.
kelele za mkundu hazibomoi choo
Kubembeleza Deorro ni kupiga maiti mswaki
Heri kumpa jirani kuliko kioze
Mwenda tezi na Omo mwishowe huoga na sabuni ya kipande.
Mwisho wa maji ni matope
CoGAYto ergo Diep unasumbua. Guok
"i need three serious strokes and im good. "~ @Mwendabai Albert
Asikudanganye mtu, siku zote kavu tamu
Bembe ni kusanduranira.
whatever the fuck that is.