mfumo wa kukusanya tozo za vyombo vya usafiri

Habari,leo nimesikia kuwa Kenya wanataka kuanzisha mfumo wa kukusanya tozo za vyombo vya usafiri(mimi nipo tz),sasa hizi habari nimezisikia juu juu,mwenye link ya habari hii anisaidie niisome kiundani

Wachana na hio habari. Haikuhusu kama wewe sio Mkenya…

@pross habari. Mcheza kwao hutuzwa ndugu.
Dance a yard before you dance a mile.
By the way,I understood nothing in your write up

Anzisheni yenu huko magufool land wachaneni na ya Kenya.

Tuwe wakarimu kwa wageni tafadhali kwani mgeni kujitongezea kumbe nikujitongezea

Wageni wa nani?
Hatutaki wageni wadaku!
Waende wakikauka!

Tagadhali ongea Kiswahili ama umfuate huyo mwenzako mwende mkajitongezea?? :smiley: :smiley:

mwenye taarifa hiyo bado nahitaji! Sijapata maelezo yake

Andika kingresa pale juu, lakini yalio ndwele sipite.

So you don’t understand Kiswahili and yet foreigners are trying their best to Learn the Language. You must be cool as fuck.

Sikuelewa maneno mengine ametumia. Kwa hivo sikuelewa ile ujumbe alikuwa nao.
Is that good enough for you mr? @Grundy

Hehehehe :smiley: :D, hii kujitongezea ni kukatia wewe mwenyewe.

:D:D Athie aki… ama wacha tuu

@Deorro leo mumeamua kuachilia mayai zote??

Tozo ni mnyama gani? Ama unamaanisha ‘torso’?

he is talking about road toll charges which the government plans to introduce

@pross soma haya

http://www.the-star.co.ke/news/2017/03/15/road-charges-policy-set-to-hit-motorists-hardest_c1524875

http://www.nation.co.ke/news/Five-key-roads-to-get-toll-stations/1056-3444458-obb8yiz/index.html

http://www.businessdailyafrica.com/news/Double-taxation-for-motorists-as-road-tolls-loom-on-key-highways/539546-3071266-fmms6bz/index.html

@Grundy some one who understands the language has come. And helped me understand what the issue was.
Naye huyu ‘mswahili’… Ama wacha tu…

Mteso mswahili…I like that title

Wharra thiz tombo za vyozos?