Mhindi amenifanya ile kitu

Za SJ zimeungua
[ATTACH=full]455616[/ATTACH]

Kijana wachana na betting

Heri ingekula mtura na hio pesa.

:smiley:
draw nne

Betting ni haramu

Hehe, ilikunywa maji

Mimi na muhindi tulipelekana sako kwa bako kutoka 2014 mpaka 2019. Nikaangalia statements nikapata tuko draw ya 200k in vs 201k out…yaani nilipoteza miaka tano going in circles. Ilibidi niachane na betting kabisa.

200k inaenda and u dont feel

Huelewi mmoja aliscore 200k mwingine akatinga 201K. Kwa hivo after 5 years wako 1-0

1 Like

Wengine ukiona accounts zao utapenda…
Niggars in six months ametumia 760k
Mean while amewin only 75k

Mostly niggars wa live casino pale mozzart wako ligi soo wanachezea 17m na amekula only 3.7m

Ingia accounts za madem crazy shocking kunguru anawekelea 17k kwa team inapigwa 5-0 :D, next cz amejam anawekelea team any 20k team inapigwa 3-0.
Sitawataja but chicks working under Ngos, na wale madem wakuachiwa mercidece ni sponsor akienda meeting majuu pale Jkia plus kamelipiwa training ya free to be a pilot :p:p
Ogopa sana ni budget ya hustlers wale wa quotes za"Hiyo ni shamba …
Hiyo ni flat pale ruiru ama juja
Hizo ni mbuzi kumi …
@Electronics4u na wengineo mwajiju

Gamble what you can afford to lose any be careful not to end up an addict.

Muhindi amerudia tena![ATTACH=full]455773[/ATTACH]