mhindi anakamua watu vimeja

Ninepitia place nikapata mboiz wakichambua jackpot 9guys …pamoja…hope wanawin

Wtf are you saying bitch

if they combine their efforts they might win…

Juzi niliona wasee wame photocopy ka gazeti ka SportPesa games. Lakini after kuwekerea,Monday utaona JP imeruka to 35 Mike ujue Ni waana walikuwa wanafanya

2 Likes

Business idea: kama uko na cyber mtaani, print the daily bet list, including those games not listed in the newspaper. Then sell each at 20 bob kwa ma idlers kama bjurmann na 123tokambio

5 Likes

sportpesa wanamake doh mob sana ni kama kila mtu anabet siku hizi hata wale dumb blonde ladies kwa ofisi wanabet

1 Like

mbisha ya blode ladies mblo iko wapi ?

1 Like

odds against them always

mbisha itakam

True, was surprised to hear a female neighbor talking to wifey about betting.

Kuna siku nimeona matha fulani amescroll simu sana kwa pub kuangalia vizuri anawekelea mabet kwa spot mbesha

more people are betting and loosing, nowadays the JP increases by 6 M after a weekend,last year it was about 1.5 M to 2 M

1 Like

Nilishtuka kugundua mzee flani huingia pub anawachia soldjier tab yake mlangoni amuwekee bets atachukua akitoka…mzee mzima kwenye kautambi na suti:eek:

2 Likes