Mihogo nyama yenye nazi.....

Mahitaji

Mihogo
Nyama
kitunguu maji 1
hoho 1
carrot 1 kubwa
Tui la nazi
chumvi
mafuta

.menya mihogo, ioshe ukate kate vipande ukubwa wa size ya kati (utenganishe katikati), waweza kutoa ule uzi wake pia
.weka supu ya nyama kiasi na chumvi funika
.mihogo ikikaribia kuiva weka nyama katia kitunguu, carrot pamoja na hoho, weka na mafuta kidogo sana, vikichenmka vizuri weka tui la nazi.
.acha ichemke hadi mchuzi ubaki kidogo
.msosi upo tayari kuliwa

[ATTACH=full]179527[/ATTACH]

@Padri Mcharo na hapa hakuna uhalisia? :smiley:

@Babu Asprin jiandae kwa menu hii weekend.

Usisahau na juisi ya ukwaju

Chakula kitamu sana hiki