Mimi mgeni kwenye hi forum

Habari zenu wote nimevutiwa na hi forum yenu nimeona nijiunge moja kwa moja naombeni mnikaribishe Mimi ni mtanzania

Leta report form tukague kwanza…meanwhile kuna bench apo inje

Niaje @M2Random

Karibu kaka. Feel at home…:slight_smile:

wapi Ng’ombe zetu

Na vifaranga…

Mwenzako amekuletea kiti
[ATTACH=full]151747[/ATTACH]

Kikiki…seriously hizi picha za viti