Nilisikia Baba akisema eti 'If Sonko is elected as Nairobi Governor I will resign on the same day if am elected as President.' Sasa vile Sonko alipita si Baba akubali tu ili tusonge mbele kama nchi. Coz ata kama angepita ingebidi aresign kwa sababu Sonko is the next Governor.