Habarini,
Ila jamani wanandoa wengi wanajua kutuzuga sana.
Utakuta wakiwa ndani kwao mke na mume yani hawaongei.
Wengine hata kulala hawalali pamoja, wanalala vyumba vya watoto.
Wengine sebuleni ndio kitandani kwao wakati wa usiku.
Sasa wakitoka nje wanatudanganya kuwa wapo ok kumbe hawaposawa.
Ananisimulia dada mmoja baada ya kumfika kooni.
Mshaurini
@Demiss @Mwifwa njooni tukumbuke JF yetu…
Alikuambia wewe kama nani?
Mwambie ajifunze kutunza siri za ndani…ona sasa amekuambia wewe na wewe umeyaleta huku
Toa ushauri…atunze siri ya nini wakati kuna watu wanashauri
Ugenini tunatakiwa tupendane tu hakuna namna ilo jibu sasa!!!
Hahaha siri za ndan wanazitoa nje
Umeona mkuu…nashukiwa ka mwewe nimejificha uvunguni hapa
Mwifwa
10
Huo ndio upendo wenyewe, ya chumbani yabaki chumbani, yasitoke sebleni hata kidogoa
Kuna wakati uvumilivu unashindikana…inabidi utafute ushauri kwa watu wa busara kama MMU
Mwifwa
12
Ni kweli lakini inatakiwa uangalie pia watu wa kuwaomba ushauri, sio wote wanaweza kukushauri na kukutatulia kosa lako
Kweli kabisa mkuu…inabidi ushauri uupembue kama mchele…chuya utupe, mawe pia utupe na chenga utupe…ubaki na mchele wenyewe
Mwifwa
14
Hapo ndio inatakiwa wawepo wenye busara kwenye kutoa huo ushauri
Demiss
15
Mimi bado nina arostooo mwenzenu
innaa
17
duuuuh Tz hawashindwiiiii
innaa
19
nomaaah sana walifikir wametuweza
Tena sasa hivi ndio tunaingia siasani kwa fujo zote