miraa jaba khat veve kangeta

abunuwasi

Village Elder
#1
Just like there are bars and clubs where people drink because of ambiance, status and class of the club pia kuna mahali unashikishanga miraa bila kuangalia huyu ni nani nimekaa na yeye. Wacha niwapee list na si zile za mtaani za mabati pahali thugs wamejaa

1. Uhuru gardens. Hapa unaingia na gari na ushakisha bila kusumbiliwa. Slay queens pia wamejaa. Kama hauna gari unaeza tulia pale kwa duka ya Abdi ama pale le 63 kwa mmeru

2. Nairobi west. Park mahali popote na uanze kushikisha kanjo hawezi kusumbua. Unaeza ingia mpambe pia

3. Madaraka. Hapo kwa ma wines and spirit. Starehe kweli kwajili unaeza chukua kanusu uteremshe nayo.

4. Petrol station za mombasa road.

5. Pangani. Apa unaeza shika sheesha. Gava walishindwa kuban uko

Ongezeni zingine
 

Top