miraa jaba khat veve kangeta

Just like there are bars and clubs where people drink because of ambiance, status and class of the club pia kuna mahali unashikishanga miraa bila kuangalia huyu ni nani nimekaa na yeye. Wacha niwapee list na si zile za mtaani za mabati pahali thugs wamejaa

  1. Uhuru gardens. Hapa unaingia na gari na ushakisha bila kusumbiliwa. Slay queens pia wamejaa. Kama hauna gari unaeza tulia pale kwa duka ya Abdi ama pale le 63 kwa mmeru

  2. Nairobi west. Park mahali popote na uanze kushikisha kanjo hawezi kusumbua. Unaeza ingia mpambe pia

  3. Madaraka. Hapo kwa ma wines and spirit. Starehe kweli kwajili unaeza chukua kanusu uteremshe nayo.

  4. Petrol station za mombasa road.

  5. Pangani. Apa unaeza shika sheesha. Gava walishindwa kuban uko

Ongezeni zingine

ile caltex ya madaraka ilikuwanga place fiti sana ya tailgate party, too bad management changed…

Umecheki hii…

[ATTACH=full]167918[/ATTACH]

Eehh bado sijaona. Inapatika wapi na ni pesa ngapi?

What about in Mombasa?

desighner origi toka kenya.

Roysa, USIU na pale Jikoni’s kusafisha macho massive

Park outside CasaB ushikishe ama uende Mtwapa Cobba Cabban ufuoni…kunguru zimejaa hapo…