Misingi ya mwanamke katika ndoa

Wapenz wakimbizi wenzangu
Naomben kujua misingi ya mwanamke katika ndoa ni Ipi

swali lako tata halieweki too general funguka tukupe nondo

Kuna mtu kaniambia mwanamke ukitaka umtulize mume ndani jua misingi yako katika ndoa ,ndio ikabidi niulize wajuzi him
Misingi ya ndoa kwa mwanamke ninini?

nimekupata vizuri ingawa kila mwanaume ana preference zake. kifupi yale ambayo unataka ufanyiwe wewe mumeo anapenda afanyiwe plus kujishusha na kutambua kuwa yeye ndio master.

mjali, acha ujuaji, timiza wajibu wako kama mwanamke, mshauri mmeo. Kubwa zaidi ni Mheshimu na pia usisahau kumpa papuchi dk 90.

NOTE: Imeandikwa Wake waheshimuni waume zenu na Wanaume wapendeni wake zenu.

hasa la ujuaji nadhan ndio weakness yangu sijui nitaliepuka VP!

Aisee mi nimjuaji sana nifanyeje ili nijifanye sijui? sababu mwenzangu nahisi namzidi akili na ujanja mi nimedanga saaaaana. Nimeruka viwanja sana sasa nataka nitulie nae shida inakuja yeye ndio kwanza anazibuka sasa kila ujanja anaoufanya Mimi nimeufanya mda tu…hapo kwa mfano naachaje ujuaji?

toa dozi tu ya ndoa

Mwanamke wa jamii gani, maana misingi ya ndoa inatofautiana kulingana na jamii au itikadi…

Msingi kiuno

Heshima, na kumcha Mungu…

Kuheshimu pesa za mume wake…

Cc: @Mahondaw

tehteh… Nimependa neno wakimbizi lol…

ndoa zina siri

Jamii ya mtanzania

Jaribu kufahamu mipaka yako kama mwanamke

Habariii

Ukienda kupata mafundisho ya ndoa utajua mkuu

Teh teh teh
Mzima wewe?

mm mzima kabisa…habari za kupotea