Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu anauguza gastric bypass

Nimeipata kwa dada wa kwa Trump kuwa ile operation ya kupunguza utumbo ili ku maintain figure unamsumbua beautiful Onyinye na sasa amelazwa kwenye dispensary ya mtu binafsi Kinondoni

Maombi na dua zenu zinahitajiks.

Gastric bypass ndio nini? Okoa muda wangu wa kwenda Google.

Anyway. Get well soon Miss Tanzania wa mwaka 2006.

Mambo ya ku-maintain figure hayo. Haaahaaaa. Atapata taabu saaana

Kukatwa utumbo mkubwa ili akonde

Dada yake aliemvumbua hajumshauri kufanya diet ya roast chicken?

Dada mwenyewe wale wale kakonda sababu ya shida,wema nae angepata misuko suko mikubwa kama wale jamaa wawili wa EPA mbona angekonda vizuri tu bila hio opareshen

Umenifanya nicheke kwanguvu, mbona dada ndiye mshauri mkuu wa diet. Lakini mapya2 akisema dada anaishi kwa chips za kuhesabiwa.

Beautiful Onyinye itabidi aache pombe sasa. Kama utumbo ni mdogo unamaana chupa ya balimi hawezi kuimaliza bila kutapika

Diet hahahha shida zile zinamkondesha,fikiria enzi za Dubai au za ubeba pochi wa mwamvita alivyokua amenona na kung’aa ni tofauti na enzi hizi za ubaloz wa diet za kuachika

Na kitimoto,mishkaki aache pia

Duh

:oops::oops::oops: Duh! Yote hii kutaka kuwafurahisha wanaume, ambao hata hivyo hatuna shukrani…

unataka kushindana na Muumba! utapata taabu sana

Mimi naomba nifafanuliwe hili kitaalamu, mtu akifanyiwe hivyo inakuwaje?

Wema ana akili za kitoto sana,kwenda kurisk maisha kisa awe mwembamba? Tatizo ni kutaka shortcut,Ukitaka kupungua fanya mazoezi kula kwa mpangilio utapungua tu,Mazoezi hataki kufanya,kula anataka kisha anataka kupungua…Kitendo alichofanya Wema kukata utumbo ni Ujinga wa Kiwango Cha Lami.

[ATTACH=full]180268[/ATTACH]

Hahahaha Inabid Sud Brown Akuchukue Muwe Timu Moja

Sudi kafulia siku hizi,yaan ubuyu wa boss kaubana peupee mpaka mtu wa nje ndo akatumegea

Hapo chakula kinakuwa hakipiti katika tumbo mkubwa?