Missing KCR, have they been stolen???

[ATTACH=full]111776[/ATTACH] [ATTACH=full]111777[/ATTACH]

Take a look at these two screens, I should be having more that 50 credos, what gives? I want to donate them somewhere!? @admin

Na sisumbui
[ATTACH=full]111778[/ATTACH]

Tulia ,eis! si ati umeibio kidney.

Wachana na upeasant myamaa…

Hio Duster utanitafutia na mangapi mungich, bora isikue na mashimo ya risasi au damu…

exactly, ndio maana nauliseko!

korapshen!!

Wanapepeko watu ufala…

ama ni Mangi amepita nazo…lol you never know.

Changamkia quiz za @Meria Mata.

50 kcr ni TP ngapi jaro soja?

unaambiwa you are a great human being na kuchezewa karata :smiley:

hizi kcr nataka kufanyia experiment nazo!

hehe napakwa mafuta na mgongo wa chupa bana

Hio KCR ata sijajua ni nini. What’s the criterion again @admin ?[ATTACH=full]111786[/ATTACH]

Hii ni kazi ya Jubilee na mecho tomato…lazima waende home…but RWNBPORK:D:D:D

a mecha korapshen scando

Hizi ndizo advert mi hupata pande hii

Kumbe siko peke yangu in the Anti KCr battalion.

hapana tamu mali ya bure

io niliachia NV walilie