MITSUBISHI PRICE QUESTIONABLE?

Lately I’ve seen Mitsubishi cedia and lancer going for less than 250k, a very decent car going for less than 250k. Whats the downside? [ATTACH=full]167842[/ATTACH]

hio ndio bei ya hiyo gari. lakini kama uko na mingi zaidi unaeza ongeza.

:D:D anaambia owner “aii hiyo ni chini sana shika more money”

Tumezoea kugongwa hadi bei ikiwa nafuu tunaishuku.

That’s how depreciation works.

@Ibwit alikua nayo ama sijui kama aliuza

Hapa ni estate ya kina uwes. Uliza yeye kama gari inakimbia.

Mbio gani, short races, distance ama marathon?

Bado iko a very reliable car. Wasee wamezoea the over priced Toyota

Bei iko sawa, but enda na mech to check red flags for you

Hiyo gari iko na repairs not less than 200k ndio ata ukienda nayo usiku unakuwa confident.

:D:D

Wheels says this car is priced as it should be. Wheels says get a mechanic who can service GDi fuel system.

hiyo gari imejikoloea,uliza @luther iko na sida gani,