Mke akiwa Nurse na Mume Dr ndoa itadumu lakini mume awe Nurse mke Dr patachimbika why?

Ndoa za waajiriwa wa sekta ya afya, mke akiwa nurse watasherehekea 70th anniversary lakini ikiwa kinyume chake hapakaliki

Hizi pair zingine hz

Waajiriwa wa sekta ya afya

Na kuna POLICE pia

Itakuwa OCD na Sargent?

Ego! ego ndo tatizo.

Haaaaahaaaahaaaaa

Hebu weka nyama kidogo Sky, unadhani kwanini sasa inakua hivyo?

Sio wote

Kwanini?ila mimi ma nurse wanawake huwa siwaamini sana,tokea lile tukio lililomtokea jirani yetu nikiwa mdogo,alipoamua kumfuata mkewe usiku Muhimbili ambaye aliaga kuwa yuko shift kumbe yuko kwa mchepuko,nimepoteza imani nao kabisa…

Kwasababu migegedo inayotendeka wakiwa shift ni hataree…

Mara nyingi na dr wale waliochelewa kuopoa chuoni huoa na nurse kwasababu wanashinda pamoja mawodini

manurse hawa afadhali waolewe na hao madokta hawaaminiki pamoja na polisi

Hmm!..

Hasa za Usiku

ZeGe++++, Madaktari tuna mambo mengi sana so kipindi tunasoma inakuwa ngumu kupiga sound.
Ila shift za usiku kwa nurse wa kike ni balaaa ukichanganya hospital condom ni self-service

Kama kuna ukweli viiileee!!!

Hii ni kwanini mkuu?

Ok

Mara nyingine huoa wagonjwa wao wakipona