Nina zawadi za mtoto ninauliza wifi ameshajifungua?
Tumsifu tu Mungu. Ya yule bwana yanaenda mbele na kurudi nyuma!
Katika haya tusifanye Mchezo…!!! Tumuogope Mungu…na Mada hii iishie hapa
aisee mbona walisemaga…
hamna anachofanyaga kinafanikiwa hata kama ilipandikizwa china Mungu anaitoa tu kulipia damu zake
Sijui aki
kwa nini iishe kabla hatujachangia
Nasema hivi mwache Mungu aitwe Mungu, acha kwanza kiburi cha madaraka kimtafune, Nani atamuombea wakati keshaharibu kila mahali