Mkutano wa dharura Waganga wote wa JF

waganga wote wote wa JF mnahitajika katika MKUTANO WA DHARULA kufanya makaratee kuhakikisha JF inarudi hewani haraka iwezekanavyo
vivyo hivyo kutengeneza SQUAD moja hatari kumpiga nalo JIWE aachane na mawazo ya kuwaita MARAIKA wafunge mitandao
cage clay andaaa mitambo hakikisha kila kitu kinakwenda sawa

“Huwezi kuilinda bahari ukilinda huku watu tunavua Kule acha roho mbaya”

:p:p:p:p:p:D:D:D:D

Hahah!!

Cc
mshana Jr
Jichawi
Mtu mzito
Rakims
Likud
Hii collabo yao wataua mtu

Mng’oa kucha ndio mwisho wa matatizo

Umemsahau MziziMkavu

Mwenyekiti @Mshana Jr katibu @Mtu mzito

Hahahaaa

Nitaliwakilisha panapohusika leo usiku kilingeni Msata

Hakwepeshi… Hakopeshi yule jamaa