Mkutano wa Kim na Trump: Kwanini Kim aliondoka na Kinyesi chake?

#1
Kuna taarifa niliona kwenye mkutano dogo kiduku aliondoka na mavi akamwange nyumbani na walinzi wake walikuwa makini sana kukilinda.

Wajuzi tunaomba ufafanuzi?
 
+255in

Senior Villager
#2
Wakorea ya kaskazini wameaminishwa kuwa usimwamini mtu yeyote hata kama ni mzazi wako na ndiyo maana alipogundua mjomba ake,babake Mdogo na kakake wanataka kumpindua kwa kuwatumia wachina alianza kuwapunguza mmoja baada ya mwingine...kisa cha mwisho ni kile cha ndugu yake kupuliziwa simu alipokuwa uwanja wa ndege akikimbia.
 
#5
Mambo ya Intelligence hayo. Tungekuwa na kina Malcom Lumumba na Infantry Soldier kama kule JF tungepata mtazamo wao hasa kijasusi na kidiplomasia
 
#6
Hakuna la ajabu hapo.huyo kim anaogopa majasus wa USA wanaweza kuchukua kinyes au mkojo na wakajua hali yake kiafya ikoje..wanaweza tambua kama ni mgonjwa au kama kuna dawa anatumia n.k.
 
#9
Kuna taarifa niliona kwenye mkutano dogo kiduku aliondoka na mavi akamwange nyumbani na walinzi wake walikuwa makini sana kukilinda.

Wajuzi tunaomba ufafanuzi?
Mkuu labda nikufahamishe kuwa hii sio mara ya kwanza Kim kuondoka na kinyesi na au mkojo wake. To be more precise, hata akiwa kwenye ziara za ndani ya North korea bado kinyesi/mkojo wake haviachwi ovyo. Lazima vyote vinabebwa kwenye gari lake maalum ambalo lina sehemu maalum kwa ajili ya kujisaidia.

Hata alivyoenda korea kusini hakuacha kitu, alikuwa na gari lake hilo hilo lenye sehemu maalum ya kujisaidia na kuhifadhi uchafu kama huo.

Sababu kubwa ni suala la usalama. Ni rahisi sana mtu kujua maisha yako binafsi kwa kuangalia aina ya chakula unachokula na maadui wakatumia njia hiyo kukumaliza. Lakini pia suala la magonjwa linaweza kugunduliwa kupitia kinyesi/mkojo na aina ya dawa unazotumia. Who knows, vipi kwenye kinyesi wakipata blood droplets, si ndo watajua almost kila kitu khs yeye?

Nahisi hata mate hatemi just like that
 
stephot

Senior Villager
#10
No tress at all,umenikumbusha usemi mmoja niliukuta kwenye hadithi za Jamest Hardley Chase,'Don't ever trust anyone,sometimes don't even trust yourself'...
 
#11
Mkuu labda nikufahamishe kuwa hii sio mara ya kwanza Kim kuondoka na kinyesi na au mkojo wake. To be more precise, hata akiwa kwenye ziara za ndani ya North korea bado kinyesi/mkojo wake haviachwi ovyo. Lazima vyote vinabebwa kwenye gari lake maalum ambalo lina sehemu maalum kwa ajili ya kujisaidia.

Hata alivyoenda korea kusini hakuacha kitu, alikuwa na gari lake hilo hilo lenye sehemu maalum ya kujisaidia na kuhifadhi uchafu kama huo.

Sababu kubwa ni suala la usalama. Ni rahisi sana mtu kujua maisha yako binafsi kwa kuangalia aina ya chakula unachokula na maadui wakatumia njia hiyo kukumaliza. Lakini pia suala la magonjwa linaweza kugunduliwa kupitia kinyesi/mkojo na aina ya dawa unazotumia. Who knows, vipi kwenye kinyesi wakipata blood droplets, si ndo watajua almost kila kitu khs yeye?

Nahisi hata mate hatemi just like that
https://www.newshub.co.nz/home/worl...g-his-own-toilet-to-the-singapore-summit.html
 
Elungata

Village Elder
#13
Kim alikumbuka kiss cha Fidel Castro,miaka ya 7o alipotembelea New York kuhudhuria mkutano wa UN,
Majasusi wa CIA wakadivert Bomba la maji machafu toka choo katika chumba cha Castro na kukinga uharo wa field marshal na kwenda kuufanyia analysis
 
Top