Mkuu wa Mkoa wa Njombe Ole Sendeka yuko wapi?

Huyu bwana mara ya mwisho alisika akilishutumu binge kwa kushinda ku my impeach jiwe. Sasa haijulikani alipo.

Labda ile minyoo tumboni kwake imemzidi anashindwa kuamka.

Hahahaha huyu bhana kapotea sana kwa kweli

Kwan hamumuoni huko kazin kwake?

Siasa za sasa hivi ni ya one man show, ukijifanya unaongea kuliko yeye hata utendaji wa kijiji utaukosa, hapo alipo anaomba mungu wake wazidi kumsahau, ili ale pension yake bila pressure.

Kwa maneno yale aliyoongea yule mzee wa visasi hawezi kumwacha salama hata upite mwaka lazima amfanye kitu

Hivi alisemaje?

Tupieni speech yake hapa

Olesendekaaaaaaa where are you,njooo utusaidie kum impeach jiwe

Yuko sehemu kalewa chakariii madaraka. Pumbavu saana yule

Alisema bunge halina meno lingeweza impeachment kwa jiwe

Itajulikana tu…

Cc: @Mahondaw

Hivi Dugai hajafa tu!

Sukari na dalikimoko si mchezo

dalikimoko ndiyo nini jamani. Alikuwa mwimbaji mzuri wa muziki, tulicheza sana muziki wake

https://www.youtube.com/watch?v=SYhIifne4OU

Unajua ugonjwa uliomuua?

Hapana ila wanamuziki wengi wamekufa kwa HIV

Basi jibu unalo

Nimekupata vema!

Ipo siku ataikana sauti yake