Mlisema Kunguru Hafugiki?

[MEDIA=instagram]BizNJdQhGJG[/MEDIA]

I think tulikubaliana ni ‘hafugiki’ ukieza funga,then hio ni ya kwako

Kwani umekua gashwin?

Huyo jamaa anakosea sisi waluhya sana … apana tumia mboga kama boda boda tafasali

Mluhya atasema hiyo ni food abuse

Hii nayo ni noma.True ukiweza kufuga kunguru fuga sisi tuko hapa kungojea matokeo.

iyo ni Gmo. wahenga awewesi kosea hafugiki…

Samaki aweza kufugika?

Bangi sio kahawa

We don’t need excuses when it comes to Kiswahili,hamtatudanganya eti ilkkuja na Melissa, vile Bayeye amesema hapo juu.

Hiyo si kunguru, ipake rangi ya black alafu tutaongea

Wacha tu bangi iwe illegal, Oh God …

Hatukusema kunguru mzungu