Mnajua kuwa dunga dunga au dungwa dungwa kuna madhara?

…jameni; hii mambo ya kuwa na multiple partners kuna madhara physically and spiritually. Kama huniamini anza kufanya research (kwako kama unahusika) au kwa wale unaowafahamu.

Nimekaa hapa niIlipo kuna mtu (kalewa) analalamika shida fulani. Sikuwa na-pay attention maana nina hamsini zangu (naangalia mpira "weldi kapu) na nipo ugenini kwa mantiki hiyo nimekodi kitanda. Ila commotion aliyoifanya jirani yangu kwenye hii sehemu nilipo imenifanya nishtuke kumsikiliza. Anamtafuta mhudumu ambae amepotea ghafla (sijamlipa kinywaji huyu mhudumu maana kanihudumia- na bill yangu ni around msimbazi mmoja). Kumbe waliingia washroom na huyu jirani, kapewa chuma mboga (men pay attention here) na wakati wa tukio bibie ka-search mifuko ya jamaa na kalala mbele na laki unusu na simu ya jamaa (sina uhakika maana ni maneno ya upande mmoja).

Now back to my advice; kumbe wenzetu sio lazima wawe wanafurahia tendo (japo sisi akili huwa inahama mguu wa tatu ukisimama). Be careful guys.

Amepata taabu sana

Naam. Na kilichonishangaza zaidi ni kuwa jamaa analalamika (hakuwa ameyasema haya kabla sija-post bandiko langu hili) eti hiyo hela ndio kalipwa mshahara wake leo!

 :D:D:Dnyege mbaya sana

Kichwa cha chini siku zote hukiongoza cha juu

Aisee!!

Wanawake wa siku hizi hata uwe na Dushe kama mGuu, na upige show masaa 2 kama hana mzuka hafurahiii chochotee. sijui shida nn.?

Dah!! kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi

Mpumbavu …

usicheze na mnyama mwenye mkia mbele… Ni hatareeeeeeeeeeeee

cc @Smart911

Inasikitisha sana…

Uzembe wa hali ya juu sana…

Cc: @Mahondaw

@Shunie yupo kweli?