mobidro.com

Search mobidro app kwa playstore and u will need no dstv.

Hii mobidro ndio gani? Ile tunajua inaitwa mobdro na haiko kwa playstore na tuliijua 2014. New villagers huwa wana…

[ATTACH=full]42712[/ATTACH]

Wakisoma lexicon ya kijiji na kuchambua kile watu walipost mbeleni, sio kuja kumisspell jina ya app, kudanganya na kurudia mavi ya kale

11 Likes

Mobdro excuse my inglish its kizungumkuti

1 Like

Haya, chokora kila kitu kilicho katika hiki kitengo cha FTA and IPTV

1 Like

U

U