Mimi as i type this am on my 7th phone this year na mahali imefika sasa nimeona sitanunua simu ya more than 15k cz wenye simu hii tao wanashinda kukujia sasa nilikua nauliza naeza buy simu gani ya less than 15k ama max 15k na bado niwezi ku keep up na kijiji??
Matusi sio mzuri sana on a monday like this....
Saidieni!!!
Matusi sio mzuri sana on a monday like this....
Saidieni!!!