Mod The tweet unakera sasa

Tunaanza kuwa na mashaka sasa hizi last edited kwenye kila comment zinachosha halafu unakuta hakuna kilichohaririwa ila post imeandikwa last edited.

Mkuu,kuna utofauti kati ya “last edited” na “last edited by moderator”.

Ukiona ‘last edited’ tu ujue aliyefanya uhariri ni mwenye post.

Ili ujumbe huo usitokee,put a tick at “Edit Silently”.

Ahsante!

Heckler handled with class. Keep doing what you always do best mod.

Can I be a Mod from Tanzania?

nice

mbona wakenya hawapigwi ban na wanaongea matusi ya kutisha? Lkn ww unawapiga ban wa tz? angalia usije ukawa una leta sifa za jiwe huku

Mkuu, ni suala la muda kabla hatujaanza kampeini ya kuwa na mod kutoka tz:):):slight_smile:

ntachukua fomu nisiowapenda wote nawaremove :smiley:

Umejibu vyema sana

Shukrani

:D:D

Samahani wewe ni moderator wa Kenyatalk au ni moderator wa kutoka Tanzania kwetu (JF)?

hahahah, mie usini rimuvu, hahahaha

nakuremove mapema tu