Wakimbizi tunadeka ila tutafanyaje sasa ndo hivo nataka kumleta binamu humu “warumi” ana ubuyu flan hv amaizing. Mods mtusaidiage hivohivo htna namna
msisahau na la elimu.
Hivi Warumi yupo? .
Warumi ndio Bilali Mashauzi, alishakufa ghafla kitambo tu.
Hahaha na kweli yule warumi lazima angekua tu choko